ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
Huyo mkorinto ni kichaa asiliaSi ulete huo ushahidi hapa
Mfano andika Quran ya kwanza inatumika wapi na Quran ya pili inatumika wapi na utofauti ni upi.
Kusema tu kuna Quran mbili ni hoja ya kitoto kabisa.
Na sio issue ya bundle si kila mtu humu ni mpuuzi angalie video dk 20 ama 30 ya mtu ambaye hana elimu yoyote.