Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Si ulete huo ushahidi hapa

Mfano andika Quran ya kwanza inatumika wapi na Quran ya pili inatumika wapi na utofauti ni upi.

Kusema tu kuna Quran mbili ni hoja ya kitoto kabisa.

Na sio issue ya bundle si kila mtu humu ni mpuuzi angalie video dk 20 ama 30 ya mtu ambaye hana elimu yoyote.
Huyo mkorinto ni kichaa asilia
 
Si ulete huo ushahidi hapa

Mfano andika Quran ya kwanza inatumika wapi na Quran ya pili inatumika wapi na utofauti ni upi.

Kusema tu kuna Quran mbili ni hoja ya kitoto kabisa.

Na sio issue ya bundle si kila mtu humu ni mpuuzi angalie video dk 20 ama 30 ya mtu ambaye hana elimu yoyote.
Mkuu kwanza uache ubishi usio na msingi,watu siku hizi wanatafiti vitu,unless useme kwamba kwa faida ya mtume wako na imani yako umeamua kuubeba upuuzi hivyo hivyo.

Video hiyo ni kwa ajili ya elimu yako,kama umegoma kuitizama nimekusaidia jambo hapa chini,hii ni misaafu 2,mmoja wa harfs na warsh eneo moja,maneno 2 yenye maana tofauti.
Sijui kama unaweza kufafanua nini kimefanyika hapi zaidi ya kuendelea kukomaa na upuuzi.
Screenshot_20240711_144605_Samsung Internet.jpg
 
Hamna version ya Qur an ni moja tu , pia upangliaji wake una mahesabu ukibadili nukta basi inajulikana hii ndio calculation simple .

Ilikatazwa kupelekwa lugha tofauti hapo awali haswa kweny makabila ya kiarabu , israel ili isipoteze maana . leo ukisoma basi unaweza kutafsir kweny lugha yake ila OG ni ya kiarabu
Warsh na Hafs ni nini? Kwanini Hafs version ya Quran ambayo inatumika Misri, Saudia na sehemu nyingi duniani imepigwa marufuku Morocco na Tunisia? Morroco wanatumia warsh version ya Quran, Tunisia wanatumia qaloon version ya Quran. Warsh, Hafs na Qaloon versions za Quran zinatofautiana maeneo kadhaa, hiyo Quran moja y kweli ni ipi?
 
Quran rasmi ya Hafs ilirasimishwa mwaka 1924 nchini Misri chini ya mfalme Fuad. Bila serikali ya Misri kujiongeza leo waislam msingekuwa na kitabu mnacho ringia. Your book is just hundred years old.
 
Warsh na Hafs ni nini? Kwanini Hafs version ya Quran ambayo inatumika Misri, Saudia na sehemu nyingi duniani imepigwa marufuku Morocco na Tunisia? Morroco wanatumia warsh version ya Quran, Tunisia wanatumia qaloon version ya Quran. Warsh, Hafs na Qaloon versions za Quran zinatofautiana maeneo kadhaa, hiyo Quran moja y kweli ni ipi?
Unajua 2024 anapotokea muislam anakwambua Quran haijawahi kuguswa na iko vile vile toka iteremshwe sio tu inasikitisha bali inaogopesha,mtu huyu ni mjinga kiasi gani bado???

Ndio hawa wapuuzi bado wanaamini kila maneno yapo kimpangilio ktk Quran kwa namba zinazofanana,kumbe kuna fala mmoja karne ya 17 hapo alikuja na huu uvumi na wakaubeba mzima mzima😁😁😁.
 
Mkuu kwanza uache ubishi usio na msingi,watu siku hizi wanatafiti vitu,unless useme kwamba kwa faida ya mtume wako na imani yako umeamua kuubeba upuuzi hivyo hivyo.

Video hiyo ni kwa ajili ya elimu yako,kama umegoma kuitizama nimekusaidia jambo hapa chini,hii ni misaafu 2,mmoja wa harfs na warsh eneo moja,maneno 2 yenye maana tofauti.
Sijui kama unaweza kufafanua nini kimefanyika hapi zaidi ya kuendelea kukomaa na upuuzi.View attachment 3039391
Maalik or Malik?

Reciting it as Maalik or Malik have both been authentically reported and preserved.

Reciting it as MALIK

MALIK means King. Kingship (sovereignty, authority, control,rule and Judge) belong to Allah alone and not to any of His creation. Here in the dunya His slaves fight to be kings on earth, competing with each other for power and dominion. But Allah says

لِلَّهِ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ

To Allah belongs the MULK of the heavens and the earth [Shūraá:49]
.kweli wewe nini.kichaa hapo
 
Unajua 2024 anapotokea muislam anakwambua Quran haijawahi kuguswa na iko vile vile toka iteremshwe sio tu inasikitisha bali inaogopesha,mtu huyu ni mjinga kiasi gani bado???

Ndio hawa wapuuzi bado wanaamini kila maneno yapo kimpangilio ktk Quran kwa namba zinazofanana,kumbe kuna fala mmoja karne ya 17 hapo alikuja na huu uvumi na wakaubeba mzima mzima😁😁😁.
Internet itawafungua macho 😄🤓.
 
Wewe mpumbavu mke wa papa ndio umeona uneweka tofauti.hapo
 
Maalik or Malik?

Reciting it as Maalik or Malik have both been authentically reported and preserved.

Reciting it as MALIK

MALIK means King. Kingship (sovereignty, authority, control,rule and Judge) belong to Allah alone and not to any of His creation. Here in the dunya His slaves fight to be kings on earth, competing with each other for power and dominion. But Allah says

لِلَّهِ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ

To Allah belongs the MULK of the heavens and the earth [Shūraá:49]
.kweli wewe nini.kichaa hapo
Acha ujinga kaka nakuheshimu kama kiumbe anayepumua na ana haki ya kuishi.
 
Mtu Mweusi pekee maarufu kwenye mafundisho ya Kiislamu ni Mtumwa kutoka Ethiopia.

Halafu hawa Waswahili wenzangu utakuta wamefuga Mizuzu na kijiona Ufahari sana😄
 
Maalik or Malik?

Reciting it as Maalik or Malik have both been authentically reported and preserved.

Reciting it as MALIK

MALIK means King. Kingship (sovereignty, authority, control,rule and Judge) belong to Allah alone and not to any of His creation. Here in the dunya His slaves fight to be kings on earth, competing with each other for power and dominion. But Allah says

لِلَّهِ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ

To Allah belongs the MULK of the heavens and the earth [Shūraá:49]
.kweli wewe nini.kichaa hapo
Sio neno moja tu,kuna verse zina utofauti wa maneno . Surahh bakarah (Hafs) ina verse 286, (Warsh) ina verse 285.
 
Warsh na Hafs ni nini? Kwanini Hafs version ya Quran ambayo inatumika Misri, Saudia na sehemu nyingi duniani imepigwa marufuku Morocco na Tunisia? Morroco wanatumia warsh version ya Quran, Tunisia wanatumia qaloon version ya Quran. Warsh, Hafs na Qaloon versions za Quran zinatofautiana maeneo kadhaa, hiyo Quran moja y kweli ni ipi?
Labda chapisho sio contents ndani ? Unaelewa kuhusu Qur an lakini ?
 
Back
Top Bottom