Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kazi anayo Allah na mtume wake,sisi kazi yetu ni kuwauliza tu nyie watetezi wao.

Mtaziponza sana sehemu nyeti kwa ajili yao.
Hivi ni nani alimpa Uthman mamlaka ya kuchoma Quran zingine ambazo hazikufanana na yake? Wana uhakika gani Uthman's Quran hazikuchaka chuliwa?
 
Labda chapisho sio contents ndani ? Unaelewa kuhusu Qur an lakini ?
Kaka utofauti huanzia ktk chapisho.

Na kama maelezo yako ni genuine,basi hii siasa ya Quran kuwa moja basi inabidi ianze kufa kifo cha asili.

Maana hunadiwa,neno kwa neno,maana kwa maana,kitu ambacho sio kweli.
 
i jukwaa huru Jf, itakuwa ni bora zaidi ukizungumza kwa mifano hususani unapotoa hoja ya kutuhumu kitu fulani. Tupatie mfano halisi unaoonyesha waislamu wanaabudu nyota na mwezi.
Ahsante, Kuna Imani inaitwa Zoroastrianism ni Imani ilikua practiced katika nchi ya Persia au Iran ya zamani, walikua Wana Imani Kwa miungu kama Ahura na Mazda. Wakati ottoman empire ilipoanza kuitawala dunia na kuadopt uislam ilitumia nembo hizo hizo kama bendera Yao na nchi ilizitawala walitumia alama iyo.
 
Hivi ni nani alimpa Uthman mamlaka ya kuchoma Quran zingine ambazo hazikufanana na yake? Wana uhakika gani Uthman's Quran hazikuchaka chuliwa?
Hakuna muislam anawezatoa majibu ya swali hili,hata Allah hawezi.

Kibaya zaidi zipo aya zikaja kuliwa na mbuzi😬😬😬
 
Labda chapisho sio contents ndani ? Unaelewa kuhusu Qur an lakini ?
Mkuu kwa heshima na taadhima fanya research kidogo tu, sababu ya Morocco kupiga ban Hafs Quran ni utofauti uliopo na Warsh inayotumika kwao . Ukisoma history vizuri Morroco, Syria na Iraq ndiyo lilikua chimbuko halisi la uislamu na siyo Saudia.
 
Hii ni opinion yako badala ya Fact. Ungeelezea kwa mifano zaidi

Sisi waisilamu historia yetu ni safi na imenyooka wala haina shaka, si tu according na waisilamu hata wasio waisilamu, msahafu wa kwanza toka kipindi cha mtume upo Museum ya Birmingham upo Exactly sawa na msahafu unaotumika leo nothing changed nothing added, je unaweza uka sema hili kwa dini nyengine? Biblia ya leo Yesu anaijua? Tora ya leo Musa anaijua?

Pia sisi Tunakuwa Encouraged kuwa na elimu kwa kila tunachofanya, hatutakiwi kufuata mambo kwa mkumbo, dini yetu ipo practical zaidi na tunaiishi dini na sio kama dini nyengine unakuta waumini ni chawa tu wanatukuza wakubwa wao ila wao si wafuasi wa mafundisho ya dini zao.
Fika visiwani utapingana na kipengele chako cha mwisho. Binadamu kiasi kikubwa tunaigiza kuishi kidini lakini deep inside unaujua ukweli.
 
Hapo atakimbilia kukwambia kuna uislam na waislam😁😁,wakifanya jambo jema au kubwa basi ni mashaallaah za kutosha,likiwa la hovyo aaaaaaah huo sio uislam.
 
Waislamu wanajua mpaka mwaka mpya wao , unataka kufananisha na vichaa wengine
Huo mwaka wao wanautumia wapi? Mwisho wake msikitini tu. Nje ya msikiti dunia nzima inajuwa mwaka huu ni 2024
 
😁😁😁kwamba wana mwaka ajabu wanakwambia kila nabii ni muislam??sasa kama ni hivyo hiyo miaka 1400 ya nini badala ya kupigia toka mwaka wa kwanza kwa adam muislam wa kwanza???
 
Hii ni opinion yako badala ya Fact. Ungeelezea kwa mifano zaidi

Sisi waisilamu historia yetu ni safi na imenyooka wala haina shaka, si tu according na waisilamu hata wasio waisilamu, msahafu wa kwanza toka kipindi cha mtume upo Museum ya Birmingham upo Exactly sawa na msahafu unaotumika leo nothing changed nothing added, je unaweza uka sema hili kwa dini nyengine? Biblia ya leo Yesu anaijua? Tora ya leo Musa anaijua?

Pia sisi Tunakuwa Encouraged kuwa na elimu kwa kila tunachofanya, hatutakiwi kufuata mambo kwa mkumbo, dini yetu ipo practical zaidi na tunaiishi dini na sio kama dini nyengine unakuta waumini ni chawa tu wanatukuza wakubwa wao ila wao si wafuasi wa mafundisho ya dini zao.
Ni uongo, Imani yenu imejngwa ndani ya miaka 23 TU, Biblia imeandikwa maika zaidi ya 2,700-4,000 na watu wengi sana zaidi ya 40 ukilinganisha na Imani ya kiislam imeandikwa ma watu 4.

Watu wanne walikusanya uongo kuaminisha mamilioni alafu unasema ni Imani safi.

Biblia imeandikwa katika mabara zaidi ya 3, watu maelefu na katika vitabu na historia za nchi nyingi wakiwemo wahindi, Budha, ethiopia, Misri, Babylon, Syria, Italy, Turkey, India na hata nyie waIslam mnakiri uwepo wa mwana wa Mungu kuwepo.
 
Biblia imeandikwa katika mabara zaidi ya 3, watu maelefu na katika vitabu na historia za nchi nyingi wakiwemo wahindi, Budha na hata nyie waIslam mnakiri uwepo wa mwana wa Mungu kuwepo.
Hata mahakamani tunapima uimara wa ushahidi kwa mashahidi kuwa wengi wakizungumza jambo moja.
Uislam bila Muhammad sio uislam.na alitumia mpaka upanga kueneza dini.
 
Kaka utofauti huanzia ktk chapisho.

Na kama maelezo yako ni genuine,basi hii siasa ya Quran kuwa moja basi inabidi ianze kufa kifo cha asili.

Maana hunadiwa,neno kwa neno,maana kwa maana,kitu ambacho sio kweli.
Hamna ukweli kwa sababu hata lugha ni ile ile , Qur an ni moja dunia nzima
 
Kabla ya kufikia hitimisho tufahamishe historia ya kaaba ipoje! Hii itatuweka wazi kufahamu kiuhalali mmiliki halali wa kaaba ni nani. Kwa msingi huo itatufahamisha pia ibada halal ya kaaba ni ipi!
Worship was directed to various gods and goddesses, including Hubal and the goddesses al-Lāt, al-‘Uzzā, and Manāt, at local shrines and temples such as the Kaaba in Mecca. Deities were venerated and invoked through a variety of rituals, including pilgrimages and divination, as well as ritual sacrifice.

Source Religion in pre-Islamic Arabia - Wikipedia.

Lile jiwe lilikua linaabudiwa na watu walikua walienda kuhiji kama nyie mnavyofanya sasa hivi. Hakuna maajabu yanafanyika pale, na Mungu hayupo Wala hauisiki na ibada zenu za sanamu. Uislam ulikuja kuchukua ibada za hivyo na kufanya kua Yao na kuongeza uongo kua Ibrahim alienda pale.
 
Hamna ukweli kwa sababu hata lugha ni ile ile , Qur an ni moja dunia nzima
Mkuu ni jambo rahisi kumpeleka punda mtoni,ila kumfanya anywe maji ni jambo jingine.

SIsi tutawapa ushahidi ila kuukubali ni maamuzi yenu.
 
Mkuu kwa heshima na taadhima fanya research kidogo tu, sababu ya Morocco kupiga ban Hafs Quran ni utofauti uliopo na Warsh inayotumika kwao . Ukisoma history vizuri Morroco, Syria na Iraq ndiyo lilikua chimbuko halisi la uislamu na siyo Saudia.
Naona huelewi kabisa , Qur an ni moja tu basi duniani hakuna nyingine halisia yake ipo kweny lugha moja tu basi ...Wkati Dunia nzima mashindano ya Qur an uliona wapi wakatumia Qur an tofauti ? 😀 😀

Miji ilitajwa kweny Qur an ina majina ya zamani ambayo kwa sasa yamebadilika ndio mpaka usome hapo ndio wanachangana , unataka kusema wana surah tofauti kweny Qur an ...Huyo Iran hapatakani na saudia ila wanatumia Qur an moja mpaka Yemen .
 
Fika visiwani utapingana na kipengele chako cha mwisho. Binadamu kiasi kikubwa tunaigiza kuishi kidini lakini deep inside unaujua ukweli.
Dini au sheria hazifi kwa matatizo ya watu ...Htuwezi kutetea tabia maana watu wanafanya makosa hata mimi na wewe .

Zile hukumu zipo kwa wanaofanya makosa , kutubu pia kupo .
 
Maneno yako ni mazuri lakini tuwekee ushahidi juu ya maneno yako ya kuwa Mungu wa waislamu; Mosi, hajawahi kujibu maombi. Pili, haongei. Tatu, haponyi.
Katika Qur'an Yako nipe kifungu kinachokuambia mungu wako anakupenda, au aliposema ukifa utaenda kuishi na yeye Mbinguni, au kifungu kinachokupa matumaini ya maisha ya sasa na ya baadae.
 
Naona huelewi kabisa , Qur an ni moja tu basi duniani hakuna nyingine halisia yake ipo kweny lugha moja tu basi ...Wkati Dunia nzima mashindano ya Qur an uliona wapi wakatumia Qur an tofauti ? 😀 😀

Miji ilitajwa kweny Qur an ina majina ya zamani ambayo kwa sasa yamebadilika ndio mpaka usome hapo ndio wanachangana , unataka kusema wana surah tofauti kweny Qur an ...Huyo Iran hapatakani na saudia ila wanatumia Qur an moja mpaka Yemen .
Kwa kutumia akili hizi hizi,dini gani inatumia vitabu tofauti???
 
Ni uongo, Imani yenu imejngwa ndani ya miaka 23 TU, Biblia imeandikwa maika zaidi ya 2,700-4,000 na watu wengi sana zaidi ya 40 ukilinganisha na Imani ya kiislam imeandikwa ma watu 4.

Watu wanne walikusanya uongo kuaminisha mamilioni alafu unasema ni Imani safi.

Biblia imeandikwa katika mabara zaidi ya 3, watu maelefu na katika vitabu na historia za nchi nyingi wakiwemo wahindi, Budha, ethiopia, Misri, Babylon, Syria, Italy, Turkey, India na hata nyie waIslam mnakiri uwepo wa mwana wa Mungu kuwepo.
So unakubali Biblia imeandikwa na binadamu?

QURAN, Injil, Taurat, Zabur na sahifa mbalimbali za mitume zilishushwa na Malaika Jibreel (Gabriel) kwa mitume husika, hazijaandikwa na Binadamu. Na kitu kuandikwa miaka mingi haimaanishi ni genuine bali vice versa is true.
 
Back
Top Bottom