Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Nimegusa ndipoAchana nayo mkuu fanya mambo mengine.
yansh ni?1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...yansh ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
Nyashyansh ni?
okNyash
Nakaziaaaaaa6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao
😅😅😅Mambo yako hayoYas katajwa🤣
Kuliko kupunguza upendo Bora aoe kabisa,Kosa kubwa mwanaume utakalofanya ni kumpenda mwanamke mmoja ! Na kuweka hisia zako kwa mwanamke mmoja, jitahidi ubalance uwe na faraja zaidi ya moja tena kwa usawa na ukihisi kuna mwanamke unampenda Sana jitahidi kupunguza upendo hata kwa visa ili akija kustuka kumbe ulishamwacha kitambo
Hii sentensi itaeneza umalaya mkuu hapo asiwekeze kwa mwanamke mmojaUsiwekeze maarifa yako yote, muda, fedha na Mali kwa mwanamke mmoja likitokea jambo ndio utajua yeye ana akili au wewe ni kilaza
Ndoa zinawaka Moto , wewe focus kwenye malengo yako usipoteze dira uliyopanga , malengo yako yakipotea huyo mwanamke hatokuonea huruma kamweKuliko kupunguza upendo Bora aoe kabisa,
Waliooa wanatamani kutoka kwenye ndoaNdoa zinawaka Moto , wewe focus kwenye malengo yako usipoteze dira uliyopanga , malengo yako yakipotea huyo mwanamke hatokuonea huruma kamwe
Exactly 💯All in all, focus on money, foods and hobbies love is a scam
Hua tunasema kaa kijanja Linda wako moyo na zako hisia , utakuja kushukuru kuwepo dunianiWaliooa wanatamani kutoka kwenye ndoa