Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke
2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela..
3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ...
4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu ...nyash ... siku zote wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa
5.Wanaume wenye pesa siku zote huchukilia mapenzi kama mchezo TU.
6.Waliozama katika dimbwi la mapenzi watapuuza haya adi watapokuja kupigwa tukio.... shauri lao