Ukweli mtamu ila mchungu kwenye mahusiano

Utapata Kuna mtu anataka kusettle😅jinga kabisa
Usettle kwa mwanamke ili iweje wewe siku ya kwanza mnaonana moyoni hesabu huyu nimepita tayari, akianza visa ushaondoka kitambo unamwachia maumivu kidogo aishi nayo awe anakukumbuka Tu , hakuna muda wa kuwekeza kwa mtu uliyemuona ukubwani
 
Mmepitia mengi huku nje😅turudini kwa Mungu sasa
 
Well said.
 
Katika uongo mkubwa ni hiyo kauli.

"Siwezi ishi bila wewe" ni utapeli.
 
Umekopi mahali nimeiona hii 😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…