Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

Naona unatumia nguvu nyingi sanaaa

Ukweli nii hatujawai kuwa na serikali ya kichovu kama hii ktk nchi hii.

Ushauri tumia hizi nguvu unazotumia kuwa chawa kutafuta hela.
 
Naona unatumia nguvu nyingi sanaaa

Ukweli nii hatujawai kuwa na serikali ya kichovu kama hii ktk nchi hii.

Ushauri tumia hizi nguvu unazotumia kuwa chawa kutafuta hela.
Serikali yetu Hii ya mama Samia no serikali Ambayo imeleta matumaini kwa watanzania ndio sababu ya kuungwa mkono
 
Bado Tu hujapata teuzi na kuandika paragraph ndefu hivi za KUJIKOMBA?
 
Bado Tu hujapata teuzi na kuandika paragraph ndefu hivi za KUJIKOMBA?
Namshauri japo akafukuzie ile mikopo ya vijana inayotolewa na halmashauri akauze hata matikiti,
aachane na hizi mambo za uteuzi list ni ndefu sana hawawezi kumuona.
 
Namshauri japo akafukuzie ile mikopo ya vijana inayotolewa na halmashauri akauze hata matikiti,
aachane na hizi mambo za uteuzi list ni ndefu sana hawawezi kumuona.
Hahahhahahahhah umemshauri vizuri maana anahangaika kweli kuandika page ndefu mbinu nyingine mbadala Hana akiamini ujumbe utafika na atateuliwa hakika kaula WA Chuya.
 
Wewe bila shaka utakuwa na matatizo kichwani watu tunateseka tunaumia kisha unasifu ujinga!
 
Ameshawaambia hataki kusifiwa kinafiki wewew bado unaendelea

Soma hapa
MIF kichaka cha mama Samia kuingiza pesa?
Ili ujue kwamba huenda akiondoka madarakani atakuwa rais wa kwanza kuondolewa kinga na kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na utakatishaji fedha
 
Hii nchi ikiendelea kuongozwa na huyu Mama miaka 7 ijayo ni hatari sana.

Tutarudi nyuma mno..yaani kule tulikokuwa miaka 14 iliyopita. Ni bora tu atuachie nchi yetu. tunashukuru kwa kutuongoza miaka yake hiyo .

She doesn't sound Presidential.

Nchi kwa sasa iko kwenye Auto pilot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…