Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Kwani wewe unafikiri muda wote Ni kuamka na kula kula tuAah uwe unasema maan njaa ndo inakufanya unawaza ndivyo sivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unafikiri muda wote Ni kuamka na kula kula tuAah uwe unasema maan njaa ndo inakufanya unawaza ndivyo sivyo
Kumbe muda wote ni kuamka na kufanya nn?Kwani wewe unafikiri muda wote Ni kuamka na kula kula tu
Kufanya kazi kujenga Taifa lako,Mimi Ni mkulima naamkia shambaniKumbe muda wote ni kuamka na kufanya nn?
Wewe ni muhimu kuweka picha ili mamlaka ya uteuzi itii kiu yako.Mbona wewe hujaweka yakwako mkuu
Kwani wapi nimeandika habari za uteuziWewe ni muhimu kuweka picha ili mamlaka ya uteuzi itii kiu yako.
Naona unatumia nguvu nyingi sanaaaNdugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.
Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.
Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.
Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Serikali yetu Hii ya mama Samia no serikali Ambayo imeleta matumaini kwa watanzania ndio sababu ya kuungwa mkonoNaona unatumia nguvu nyingi sanaaa
Ukweli nii hatujawai kuwa na serikali ya kichovu kama hii ktk nchi hii.
Ushauri tumia hizi nguvu unazotumia kuwa chawa kutafuta hela.
Nasikitika kukutaarifu kuwa nafasi za uteuzi kwasasa zimeisha, jaribu tena baadaye.Kwani wapi nimeandika habari za uteuzi
Naona mawazo yako yapo katika uteuziNasikitika kukutaarifu kuwa nafasi za uteuzi kwasasa zimeisha, jaribu tena baadaye.
Kwani andiko Hili Ni wapi uliposoma kuwa Ni barua ya maombiBado Tu hujapata teuzi na kuandika paragraph ndefu hivi za KUJIKOMBA?
Inawezekana au vijana wake wale walokuwa kina kigogo awamu ilopitaHuyo mtoa mada msiwe mnabishana nae sijawai kuona utimamu wake,Nina wasiwasi anaweza kua Samia mwenyewe.
Unahangaika kusifia kitu kisichosifika utapata tabu sanaKwani andiko Hili Ni wapi uliposoma kuwa Ni barua ya maombi
Namshauri japo akafukuzie ile mikopo ya vijana inayotolewa na halmashauri akauze hata matikiti,Bado Tu hujapata teuzi na kuandika paragraph ndefu hivi za KUJIKOMBA?
Kwani kuwa chawa ni vibaya? Au kipi kinachokufanya ukatae uchawa?Mimi siyo chawa Bali nawasilisha mawazo yangu
Hahahhahahahhah umemshauri vizuri maana anahangaika kweli kuandika page ndefu mbinu nyingine mbadala Hana akiamini ujumbe utafika na atateuliwa hakika kaula WA Chuya.Namshauri japo akafukuzie ile mikopo ya vijana inayotolewa na halmashauri akauze hata matikiti,
aachane na hizi mambo za uteuzi list ni ndefu sana hawawezi kumuona.
😂Inawezekana au vijana wake wale walokuwa kina kigogo awamu ilopita
Ameshawaambia hataki kusifiwa kinafiki wewew bado unaendeleaNdugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.
Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.
Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.
Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hii nchi ikiendelea kuongozwa na huyu Mama miaka 7 ijayo ni hatari sana.Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.