Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.

Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.

Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.

Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Naona unatumia nguvu nyingi sanaaa

Ukweli nii hatujawai kuwa na serikali ya kichovu kama hii ktk nchi hii.

Ushauri tumia hizi nguvu unazotumia kuwa chawa kutafuta hela.
 
Serikali yetu Hii ya mama Samia no serikali Ambayo imeleta matumaini kwa watanzania ndio sababu ya kuungwa mkono
 
Bado Tu hujapata teuzi na kuandika paragraph ndefu hivi za KUJIKOMBA?
 
Namshauri japo akafukuzie ile mikopo ya vijana inayotolewa na halmashauri akauze hata matikiti,
aachane na hizi mambo za uteuzi list ni ndefu sana hawawezi kumuona.
Hahahhahahahhah umemshauri vizuri maana anahangaika kweli kuandika page ndefu mbinu nyingine mbadala Hana akiamini ujumbe utafika na atateuliwa hakika kaula WA Chuya.
 
Wewe bila shaka utakuwa na matatizo kichwani watu tunateseka tunaumia kisha unasifu ujinga!
 
Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.

Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.

Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.

Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Ameshawaambia hataki kusifiwa kinafiki wewew bado unaendelea

Soma hapa
MIF kichaka cha mama Samia kuingiza pesa?
Ili ujue kwamba huenda akiondoka madarakani atakuwa rais wa kwanza kuondolewa kinga na kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na utakatishaji fedha
 
Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia.

Watanzania wanafahamishwa na kuelezwa kila kitu kinachokuwa kinaendelea na mikakati au hatua zinazokuwa zinachukuliwa kwa kila kero au tatizo au changamoto inayokuwa imejitokeza mbele yetu Kama Taifa. Rais wetu hataki kuwadanganya watanzania kwa lolote Bali huwaambia ukweli hata Kama Ni mchungu wananchi wake,hii ndio sababu ya kukubalika Kwake na kuungwa mkono na watanzania.

Kila Senti inayopatikana iwe Ni kwa njia ya msaada,mkopo wa riba nafuu au mchango wa wahisani au wadau wa maendeleo Rais Samia amekuwa akiwaeleza watanzania ukweli,anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa wenye nchi Ni wananchi na kazi zote afanyazo ni kwa ajili ya watanzania wanaopaswa kufahamu Nini Serikali yao inafanya.

Rais Samia haendeshi serikali gizani Wala kufanyia mambo gizani au kusainia mikataba gizani,popote anakokwenda inje ya nchi na anachokifanya na kukubaliana anatueleza watanzania makubaliano yote yanayokuwaa yamefikiwa na vipi Taifa letu litanufaika.Hii ndio sababu ya kuona watanzania wakiwa na Imani na Rais na kuwa bega kwa bega na Rais wetu na kuwa na Subira pale panapokuwa na changamoto fulani.Hakika hii Ni serikali ya watanzania iliyochaguliwa na watanzania, inayowatumikia watanzania na kwa manufaa ya watanzania.Tuendelee kuiunga mkono na kuipa ushirikiano wakutosha.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hii nchi ikiendelea kuongozwa na huyu Mama miaka 7 ijayo ni hatari sana.

Tutarudi nyuma mno..yaani kule tulikokuwa miaka 14 iliyopita. Ni bora tu atuachie nchi yetu. tunashukuru kwa kutuongoza miaka yake hiyo .

She doesn't sound Presidential.

Nchi kwa sasa iko kwenye Auto pilot.
 
Back
Top Bottom