Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Kwa Prof. Janabi yameshindwa na roho zao mbaya na Lissu kitanzi kinamnyemelea!Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k
Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.
Sura ya erythrocyte kwa Iko kama anakwepa jiwe.πππ
π€£π€£Code zako kama kipindi cha mashamu shamu za juma lukole kumbe mwanaume na baba wa Ubungo na buguruni kimboka
Wameufyata mkia walimbeza sanaWalijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k
Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.
Sura ya erythrocyte kwa Iko kama anakwepa jiwe.πππ
Huu ushindi wa Janabi Serikali ituambie tunafaidikaje, Serikali imetumia kodi za wananchi nyingi sana kuzunguka Ikulu zote Afrika kumnadi huyu Janabi kwa faida gani tutakayoipata?Kwa Prof. Janabi yameshindwa na roho zao mbaya na Lissu kitanzi kinamnyemelea!
Inafurahisha kweli kuiona minyumbu yennye roho mbaya ikiendelea kuaibika kama hv....Code zako kama kipindi cha mashamu shamu za juma lukole kumbe mwanaume na baba wa Ubungo na buguruni kimboka
Mkatae kivyako nasi wengine tunamkubali kivyetu.Yani huwa nashangaa sana kuona kuwa hadi leo bado kuna watu wanamkubali na wanamuamini huyo mzee, baada ya yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya na anayotarajia kuyafanya kwenye hii nchi, ama kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza watanzania wengi tumepumbazwa na bado tuko gizani..
Mama Samia ndo kiboko ya manyumbu ya chadema chakavu kumbe imeumbukaje!!!Code zimekaa kimichambo hata sijang'amua kitu
Kabisa kabisa!!!Ushindi wa Prof. Janabi ni ushindi wa Tanzania.
Hili utasubiriiwa ukue kwanza Kisha utajionea. Kwa Sasa hv, ukiwa mtoto km ilivyo, acha uvumiliwe kwanza.Huu ushindi wa Janabi Serikali ituambie tunafaidikaje, Serikali imetumia kodi za wananchi nyingi sana kuzunguka Ikulu zote Afrika kumnadi huyu Janabi kwa faida gani tutakayoipata?
Tuliona anazunguka na Jenesta Muhagama, na Kikwete kila nchi kwa kutumia ndege ya serikali na msafara mkuubwa kwa gharama za Serikali kwa faida gani hasa tutapata kama nchi?
CAG mwakani atuambie tumewekeza lkiasi gania kuupata huo ukurugenzi wa WHO Afrika, na tutapata faida kiasi gani au kama ni hasara ni kiasi gani?.
Binafsi sioni sababu ya kutumika mabilioni kupata nafasi inatusaidia nini kama taifa?
Mungu aendelee kuwashindisha zaidi mafirauni hawa.Kwa Prof. Janabi yameshindwa na roho zao mbaya na Lissu kitanzi kinamnyemelea!
Mungu endelea kuyaangusha haya manyumbu yabaki yakicheka kwa uchungu hivi hivi.π€£π€£
Kwa hakika!!!!!Ushindi wa Prof. Janabi ni ushindi wa Tanzania.
Huwa sipendi watu kumchukua jk kabisa,japo simjui na hanijui lakini kumshambulia binadamu mwenzio bila sababu sio sawaWalijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k
Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.
Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.πππ
Kabisa. Na hii ndo sababu mambo yake mengi yanaenda sawa......linakuwa kama jibu flani kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kuwaumiza maadui zake wanaomchukia bila sababu na waliokosa shukrani. Nyumbu wa chadema chakavu wataendelea sana kuumia kwa jkHuwa sipendi watu kumchukua jk kabisa,japo simjui na hanijui lakini kumshambulia binafamu mwenzio bila sababu sio sawa
Ngulumbili ni shida,wote ni wivu tuKabisa. Na hii ndo sababu mambo yake mengi yanaenda sawa......linakuwa kama jibu flani kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kuwaumiza maadui zake wanaomchukia bila sababu na waliokosa shukrani. Nyumbu wa chadema chakavu wataendelea sana kuumia kwa jk