Dua la kuku,Ukiona mtu anatamani kifo kwa binadamu mwenzie,huyo ni baba yake ibilisiLissu ni kitanzi tu. Na asipokula kitanzi naondoka CCM, naacha kuitetea Serikali JF na mwisho najitoa JF kwasababu itakuwa HAINA MAANA kuendelea kuwa member wa JF. Na kwa moderators wa JF, hata niombe msamaha kwa namna yoyote, msiniruhusu kuwa tena members wa JF!