Ukweli ni Kuwa Wameumbuka na Wamekasirika Haswaaaa; Sura Zimewashukaa!!

Ukweli ni Kuwa Wameumbuka na Wamekasirika Haswaaaa; Sura Zimewashukaa!!

Na ww tuambie kwan angeshindwa nchi ingepata faida gn
Hatukuwa na mkurugenzi wa WHO kutoka Tanzania hatukuwa na hasara yoyote.

Wewe twambie nchi ambazo raia wake wamewahi kukalia nafasi hiyo wamepata faida gani?

Wanajioendelea, au ni symbolic tu?
 
Hatukuwa na mkurugenzi wa WHO kutoka Tanzania hatukuwa na hasara yoyote.

Wewe twambie nchi ambazo raia wake wamewahi kukalia nafasi hiyo wamepata faida gani?

Wanajioendelea, au ni symbolic tu?
Mngetaja hizo faida kwanza tutakazopata kama nchi kama angekosa hy nafasi
 
Mngetaja hizo faida kwanza tutakazopata kama nchi kama angekosa hy nafasi
Kinachonisikitisha ni matumizi makubwa ya pesa ili apate hiyo nafasi, tutazipataje baada ya yeye kuipata hiyo nafasi?
 
Mbona kawaida Sasa janabi kapata kazi nifuraha kwake na mkewe sisi inatuongezea Nini?
Mjinga inadhani ataiibia TZ au eti ataipendelea tz hiyo ni hakuna msibebe ujinga atakaakaa hapo kisha atatoka kama wengine hakukuwa na haja kutumia pesa nyiiingi kupigania kanafasi halo kasikoiongezea nchi lolote
 
Kila mtu alikuwa na uwezo wa kushinda, Mbona Marehemu Ndugulile alishinda bila kufanyiwa kampeni na Samia au JK? Hata wewe ungegombea ungeshinda.
Inakubalika kuhamisha magoli! Mara ya kwanza mlisema Hana sifa na atashindwa. Leo mmehamisha magoli!
 
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂

View: https://youtu.be/4JA_A6Rz0vI?si=ExHPDdmbFpAUsuwb
Jielimishe ili uwe na akili maana kwa kila halI unaonekana huna akili kabisa huku ukijiita eti Dr wa Manesi..!!
 
Mbona kawaida Sasa janabi kapata kazi nifuraha kwake na mkewe sisi inatuongezea Nini?
Mjinga inadhani ataiibia TZ au eti ataipendelea tz hiyo ni hakuna msibebe ujinga atakaakaa hapo kisha atatoka kama wengine hakukuwa na haja kutumia pesa nyiiingi kupigania kanafasi halo kasikoiongezea nchi lolote
Mtoto wa 2000 anaongea.
 
Unafikiri Yana akili basi, yapo yapo tu. Kazi yao kubwa ni kuwachawia wenzao tu waliofanikiwa.
Prof. Safari alipokuwa anaondoka Chadema alisema Wana Chadema ni kama manyumbu. Hawana uwezo wa kufikiri kwa akili zao. Kwa hili la Prof. Janabi imedhihirisha kuwa wao ni nyumbu!
 
Acha mzaha na uhai wa binadamu mwezio mkuu
Lissu ni kitanzi tu. Na asipokula kitanzi naondoka CCM, naacha kuitetea Serikali JF na mwisho najitoa JF kwasababu itakuwa HAINA MAANA kuendelea kuwa member wa JF. Na kwa moderators wa JF, hata niombe msamaha kwa namna yoyote, msiniruhusu kuwa tena members wa JF!
 
Huyo Janabi kama ni genius kuliko watanzania wote kulikuwa na haja gani kupoteza hela za walipa kodi kumnadi hivyo???
 
Back
Top Bottom