Ukweli ni Kuwa Wameumbuka na Wamekasirika Haswaaaa; Sura Zimewashukaa!!

Ukweli ni Kuwa Wameumbuka na Wamekasirika Haswaaaa; Sura Zimewashukaa!!

Huu ushindi wa Janabi Serikali ituambie tunafaidikaje, Serikali imetumia kodi za wananchi nyingi sana kuzunguka Ikulu zote Afrika kumnadi huyu Janabi kwa faida gani tutakayoipata?

Tuliona anazunguka na Jenesta Muhagama, na Kikwete kila nchi kwa kutumia ndege ya serikali na msafara mkuubwa kwa gharama za Serikali kwa faida gani hasa tutapata kama nchi?

CAG mwakani atuambie tumewekeza lkiasi gania kuupata huo ukurugenzi wa WHO Afrika, na tutapata faida kiasi gani au kama ni hasara ni kiasi gani?.

Binafsi sioni sababu ya kutumika mabilioni kupata nafasi inatusaidia nini kama taifa?
Na ww tuambie kwan angeshindwa nchi ingepata faida gn
 
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂
Umeandika kimipasho kama Juma Lokole vile shame on you.
 
Yani huwa nashangaa sana kuona kuwa hadi leo bado kuna watu wanamkubali na wanamuamini huyo mzee, baada ya yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya na anayotarajia kuyafanya kwenye hii nchi
Aliharibu sana raslimali za nchi hii hasa Gas zetu alivyogawa vitalu na issue ya Escraw!
Binafsi simkubali hata kidogo. Kuna wazee wa Taifa akina Butiku, Warioba na Ulimwengu na sio hawa wengine.
 
Taja wote waliopewa pesa ili kutoa kura 😂
Kumbe kura zilipigwa na marais tuu 😂

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Sasa hapo Erythrocyte aweje na uso wa kukwepa vipi jiwe, wakati pesa mnazowalipa kina Traore kununua kura wanawapa huduma watu wao bure?

Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

Kwani hiki kiti tumegharamika je? Na hiyo pesa itarudije?

Majibu yako tafadhali, ikikupendeza.
Najua kuwa minyumbu haijawahi kuwa na akili lakini siku fikiria ni kwa kiasi hiki...... what I mean is you are the stupidest of all nyumbus.

Usivyo na akili unamdharirisha hata huyo role model wako traore kwa fikra zako mfu za kumuhusisha na rushwa. Halafu hizi ni hoja za kimataifa mpumbavu we, acheni mawazo yenu mgando ya kichadema........eti kununua kura. Bwege kweli wewe
 
Najua kuwa minyumbu haijawahi kuwa na akili lakini siku fikiria ni kwa kiasi hiki...... what I mean is you are the stupidest of all nyumbus.

Usivyo na akili unamdharirisha hata huyo role model wako traore kwa fikra zako mfu za kumuhusisha na rushwa. Halafu hizi ni hoja za kimataifa mpumbavu we, acheni mawazo yenu mgando ya kichadema........eti kununua kura. Bwege kweli wewe

Tuko mahakamani hapa na ma CCM wenzio wakiwamo g-55:

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg


Tunasakata rhumba kwanza.

Tutakurejea baadaye kuona umeandika nini.

Hatujasoma kabisa ulichoandika, bila shaka utakuwa ni upuuzi mwingine tu.
 
Zikifanyika lakini hamkuziripoti tu kwa sababu zenu
Hawakumfanyia Kampeni Dr. Ndugulile, Onyesha angalau picha moja inayoonyesha Samia akiongea kuhusu Ndugulile, au Kikwete aka Vasco Da Gamma akiwa anambeba Ndugulile kwenda nchi za kiafrika kumpigia kampeni. Acha upumbavu wewe fala. yaani Janabi mpaka apigiwe kampeni ndiyo ashinde....SHAME
 
Back
Top Bottom