Ukweli ni Kuwa Wameumbuka na Wamekasirika Haswaaaa; Sura Zimewashukaa!!

Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiw

Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂
Awali ya yote nitoe pongezi kwa Prof. Janabi binafsi kwa kuibuka mshindi katika nafasi hiyo mpya ya ajira aliyoiomba na kufanikiwa kuipata. Nafasi ambayo anakwenda kuirithi kutoka kwa Mtanzania mwingine ambaye ni marehemu Dkt
Faustine Ndungulile.

Pamoja na kuwa hii ni sifa kwa taifa letu la Tanzania, lakini bado ukweli unabakia ni fursa kubwa kwake binafsi kujiongezea "exposure" na kipato chenye kukidhi haja kutokana na ukubwa wa mshahara na marupurupu ambayo ataanza kuyapata katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Nasema hivyo kwa kuwa yeye hatakuwa Mtanzania wa kwanza kuwahi kufanikiwa kushika nafasi ya uongozi wa juu kikanda, Afrika na kidunia. Tumewahi kushuhudia mafanikio aliyoyapata Salim Ahmed Salim, Getrude Mongela, Prof. Anna Tibaijuka, Dkt. Asha Migiro, Dkt. Mwele Ntuli Malecela, Prof. Lipumba, Tulia Ackson, n.k. na wote hao waliipa sifa Tanzania katika nyakati zao.

Nimalizie tu kusema, Prof. Janabi kapata ajira mpya, Tuiombe serikali ilete jembe lingine pale Hospitali ya Muhimbili ili aendeleze mazuri yote guru huyu wa mambo ya afya ambayo alikwisha kuanza kuyafanya. Mambo ya kuzogoana kwa vigezo vyenye viashiria vya udini kutokana na ajira yake mpya aliyoipata mwenzako ni mambo ya kijinga.
 
Hivi hiyo nafasi ni kubwa sana kuliko aliyokuwa nayo Dr. Asha Rose Migiro? Ama aliyowahi kuishikilia Prof. Anna Tibaijuka?
 
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂
Usisahau hata mashetani huwashinda wema
 
Usisahau hata mashetani huwashinda wema
Kwenye hii mada Bado halijatokea, mashetani ndo wameshindwa vibaya. Lishetani ni lile linalookba mabaya na madhira kwa mwenzake na Kisha kushangilia. Mishetani inamuombea mabaya Kila siku jk, kwa mara nyingine ikechemka Leo. Ahsante Mungu kwa kuiumbua mishetani.
 
Yani huwa nashangaa sana kuona kuwa hadi leo bado kuna watu wanamkubali na wanamuamini huyo mzee, baada ya yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya na anayotarajia kuyafanya kwenye hii nchi, ama kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza watanzania wengi tumepumbazwa na bado tuko gizani..
MUNGU ATAMTWAA PUNDE. AMESHAUMIZA NA ANAENDELEA KUUMIZA NCHI SN. NAAMINI MUNGU NI ZAIDI YA WACHAWI WAKE ALIOWAAJIRI WAMLINDE
 
Mashetani mtaendelea kushindwa kwa kipindi kirefu sana.
Jk ni Muislamu na Nina uhakika anajua vema kuwa kifo humpata yeyote na muda wowote hivyo hilo hata haimsumbui.........anaweza kufa hata Sasa.
Swali la msingi ni hili; akifa jk, kama chadema mnavyokesha na kuomba, ndo maisha yenu yatabadilika?!!! Amemuumiza nani kwa mfano?!!!
 
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂

Sasa hapo Erythrocyte aweje na uso wa kukwepa vipi jiwe, wakati pesa mnazowalipa kina Traore kununua kura wanawapa huduma watu wao bure?

Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

Kwani hiki kiti tumegharamika je? Na hiyo pesa itarudije?

Majibu yako tafadhali, ikikupendeza.
 
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....

Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k

Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.

Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂
Maswali pia ya kujiuliza

Kwa nini wachukiwe na watanzania wenzao?

Wana shida gani mpaka wachukiwe
 
Back
Top Bottom