Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hongera Mama mfu Mana Hilo lipo wazi Muda mrefu.Mawazo ya mtu mfu hayajawahi kuwa ya maana.......hv ndivyo wafu wanavyofikiri. Poleni sana
Hatukuwa na mkurugenzi wa WHO kutoka Tanzania hatukuwa na hasara yoyote.Na ww tuambie kwan angeshindwa nchi ingepata faida gn
Mngetaja hizo faida kwanza tutakazopata kama nchi kama angekosa hy nafasiHatukuwa na mkurugenzi wa WHO kutoka Tanzania hatukuwa na hasara yoyote.
Wewe twambie nchi ambazo raia wake wamewahi kukalia nafasi hiyo wamepata faida gani?
Wanajioendelea, au ni symbolic tu?
Kinachonisikitisha ni matumizi makubwa ya pesa ili apate hiyo nafasi, tutazipataje baada ya yeye kuipata hiyo nafasi?Mngetaja hizo faida kwanza tutakazopata kama nchi kama angekosa hy nafasi
Tuambie zimetumika sh ngapKinachonisikitisha ni matumizi makubwa ya pesa ili apate hiyo nafasi, tutazipataje baada ya yeye kuipata hiyo nafasi?
Unadhani kuzunguka ikulu zote Afrika kutafuta support walikuwa wanapanda daladala au mwendokasi?Tuambie zimetumika sh ngap
Amekitafuta mwenyewe. Kosa langu lipi?Wewe utaishi milele? Mwombea mwenzie kifo cha kitanzi ni mbaya kupita maelezo🥲
Na wewe ukanusa! Kiko poae!!?hapa umejamba mjuba
Inakubalika kuhamisha magoli! Mara ya kwanza mlisema Hana sifa na atashindwa. Leo mmehamisha magoli!Kila mtu alikuwa na uwezo wa kushinda, Mbona Marehemu Ndugulile alishinda bila kufanyiwa kampeni na Samia au JK? Hata wewe ungegombea ungeshinda.
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh, ameenda kufanya nini?" Wengine, "kamanda kuwa makini atakuwekea sumu huyo!" N.k
Mungu hakika ataendelea kuwa Mungu, mipango yake na ya binadamu ni tofauti kabisa......hakika amemuumba vzr jk kukabiliana na vitimbi vyote vya haters wake. Dua mbaya zote za maadui zinampita pembeni mpaka Sasa.
Sura ya erythrocyte kwa sasa Iko kama anakwepa jiwe.😂😂😂
Nyumbu jingine hili hapa la chadema chakavu likiwa limekasirika na kununa!
View: https://youtu.be/4JA_A6Rz0vI?si=ExHPDdmbFpAUsuwbJielimishe ili uwe na akili maana kwa kila halI unaonekana huna akili kabisa huku ukijiita eti Dr wa Manesi..!!
Unafikiri Yana akili basi, yapo yapo tu. Kazi yao kubwa ni kuwachawia wenzao tu waliofanikiwa.Inakubalika kuhamisha magoli! Mara ya kwanza mlisema Hana sifa na atashindwa. Leo mmehamisha magoli!
Mtoto wa 2000 anaongea.Mbona kawaida Sasa janabi kapata kazi nifuraha kwake na mkewe sisi inatuongezea Nini?
Mjinga inadhani ataiibia TZ au eti ataipendelea tz hiyo ni hakuna msibebe ujinga atakaakaa hapo kisha atatoka kama wengine hakukuwa na haja kutumia pesa nyiiingi kupigania kanafasi halo kasikoiongezea nchi lolote
Taja kiasi walichotumia acha maneno mengi.Unadhani kuzunguka ikulu zote Afrika kutafuta support walikuwa wanapanda daladala au mwendokasi?
Acha mzaha na uhai wa binadamu mwezio mkuuAmekitafuta mwenyewe. Kosa langu lipi?
Prof. Safari alipokuwa anaondoka Chadema alisema Wana Chadema ni kama manyumbu. Hawana uwezo wa kufikiri kwa akili zao. Kwa hili la Prof. Janabi imedhihirisha kuwa wao ni nyumbu!Unafikiri Yana akili basi, yapo yapo tu. Kazi yao kubwa ni kuwachawia wenzao tu waliofanikiwa.
Lissu ni kitanzi tu. Na asipokula kitanzi naondoka CCM, naacha kuitetea Serikali JF na mwisho najitoa JF kwasababu itakuwa HAINA MAANA kuendelea kuwa member wa JF. Na kwa moderators wa JF, hata niombe msamaha kwa namna yoyote, msiniruhusu kuwa tena members wa JF!Acha mzaha na uhai wa binadamu mwezio mkuu
Kaongee nawenzio kinazuchu wa 2000 Sasa mimi niumri wa babaako...Mtoto wa 2000 anaongea.