Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Haya twende kwenye bodaboda napo faida zake
 
miaka ile ya 2000s , nilifanya biashara ya bodaboda nilikuwa nawapa vijana pikipiki za mikataba na wao wananipa pesa, miaka ya hivi karibuni bodaboda nimenunua tena hakupi marejesho na anakwama kulipa ,ukimuliza why majibu ni kazi ngumu pikipiki nyingi, upande wa pili ni mimi mwalimu ,niko tgts E, mara ya mwisho nilikopa milioni 12, sijui hapo ningenunua bodaboda ngapi nawahurimia sana vijana wanaofanya kazi ya bodaboda na nimeshudia wenye akili timamu wanacha bodaboda wanatafta kazi, kwa hiyo kufananisha ualimu na bodaboda unahitaji kuwa na kichaa na tanzania tuna tatizo la magonjwa ya akili so huenda mleta uzi ni mhanga
 
Mkuu bodaboda siku hizi wamejanjaruka pia. Wanajenga
 
Upo sahihi kabisa mleta uzi amepooza kwenye ubongo wake,hao bodaboda kwanza wapo wengi mno ukipiga hatua 20 tu wapo kiufupi pikpiki ni nyingi mno kiasi kwamba mtu kupata elfu tatu ni kawaida kwasiku
 
Noted ila mm sio mwalimu ushindwe
 
Wataje walimu waliopiga hatua na hatua zipi wamepiga
 
Walimu ni maboya wengi wao niwale waliofeli
 
Sawa mwalimu naona umejipalilia
 
Ili upate pesa ya kutosha ya bodaboda lazma uwe nje ya nidhamu, bodaboda ni kazi yenye mateso.
 
Hao boda ni mji gani
 
Tatizo mmekalilishwa ujinga!.. nikusanuae tu siku hizi tuna kopa B.O.T direct mtu unavuta Hadi 40M kulingana na scale yako!.. bachelor holder Kama hudaiwi na loan board unakunja 600K ukiwa unaa Anza sisi wakongwe tusha fika 1.2M na age inasoma 33,, wee endelea kukalili,,hao bodaa boda wanatutumikia sisi
 
Wapo ma ticha vijana tu wanavuta zaidi ya hyo 800K,, mna generalize walimu kumbuken Kuna certificate,diploma na.bachelor,,hao scale zao tofaut yaan mbingu na Ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…