miaka ile ya 2000s , nilifanya biashara ya bodaboda nilikuwa nawapa vijana pikipiki za mikataba na wao wananipa pesa, miaka ya hivi karibuni bodaboda nimenunua tena hakupi marejesho na anakwama kulipa ,ukimuliza why majibu ni kazi ngumu pikipiki nyingi, upande wa pili ni mimi mwalimu ,niko tgts E, mara ya mwisho nilikopa milioni 12, sijui hapo ningenunua bodaboda ngapi nawahurimia sana vijana wanaofanya kazi ya bodaboda na nimeshudia wenye akili timamu wanacha bodaboda wanatafta kazi, kwa hiyo kufananisha ualimu na bodaboda unahitaji kuwa na kichaa na tanzania tuna tatizo la magonjwa ya akili so huenda mleta uzi ni mhanga