The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Pongez masasi napafaham huyu jamaa anajidanganya kama ingekuwa hivyo tz kungekuwa na mamilionea wa kutoshaMimi nimewahi kumiliki pikipiki hapa mtwara ninachokuambia nakijua
Unadhani Kila mtu Yuko Mwanza,Dodoma au Arusha ? Hapo Dar wali wa huku keep upo shida iko wapi?Unaongea kirahisi sana
Ukweli gani unatakaSema kweli kiongozi
Umeongea upupu tujapo umejicatogorize lkn kimsing ukiwa muajiriwa bado mjasiriamali yoyote anakuga gap tu wakt huo huo huyo huyo boda boda akivunjika hata mguu kwa wiki mbil lzm familia yake ilale njaa
Kwani tukisema pilot anaingiza pesa nyingi kuliko watu wamatipa tunamaanisha nao wakawe mapilot?Iv ni mwalimu gani anayezungumziwa hapa,wa shule ya msingi au wa sekondari wa chuo au chuo kikuu uzi wako haupo specified kana kwamba walimu wote wanalipwa hiyo laki 4 au lak 5
Point yako ni ipi kwamba hao walimu waache kufundisha waende kweny hiyo elf 50 kwa siku ambayo siyo costant na unaisubir juan kutwa nzima !!?
Hujui Kaa kimyaUnadhani Kila mtu Yuko Mwanza,Dodoma au Arusha ? Hapo Dar wali wa huku keep upo shida iko wapi?
Ninaweza zaidi tena sana tuPongez masasi napafaham huyu jamaa anajidanganya kama ingekuwa hivyo tz kungekuwa na mamilionea wa kutosha
Hebu ajaribu yeye kuzungusha bodaboda kama kweli atapata hizo pesa nampatia mwaka 1
Wewe unaejua ndio ntakwambia wali wa buku jero upo dada mtu anashindwaje kuishi kwa 400k?Hujui Kaa kimya
SikuelewiWewe unaejua ndio ntakwambia wali wa buku jero upo dada mtu anashindwaje kuishi kwa 400k?
Hhhahaha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimecheka ki PutinMmoja ana tafta pesheni yake haraka kabla ajawa kilema kama sio kukata moto
Hujui unaloliongea ...Ninaweza zaidi tena sana tu
600k inatosha kuendesha familia ya watu wanne kwa maisha std ya kitanzania ?Ukweli gani unataka
Nimesema watu 5,sasa haitoshi kiaje? Kwa hiyo walinzi wanaopata laki Moja wanaendeshaje familia?600k inatosha kuendesha familia ya watu wanne kwa maisha std ya kitanzania ?
Angalia sasa ulivyo mpumbavuFicha ujinga wako tgts E ni laki saba na themanini
Ajira mpya science wameanza D3 ni laki 8 na elfu tano basic...Wew ni mwalimu au unaleta upumbavu tu hapa....
Tgts D ni 756k
Tgts E 990k
Tgts F ni 1250k
Sent using Jamii Forums mobile app
SahiiSiku nyingine ukianza Ubishii....uwe na akili
Hiyo ni basic ya mshahara wa mwalimu Sayansi ambaye hana hata mwaka kazini....Alafu hiyo ni TGTS D3, then unaanza kusema etii laki 9 ni umri wa kustaafu.....
View attachment 2411926
Sent using Jamii Forums mobile app