makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sahihi, ongeza elfu 10 katika 10-15 yake so atakuwa anakusanya 15-25 elfu.Kuna wengine wanamiliki bodaboda zao sio ya boss
Sina experience na hao nitaongopa bureAchana na hawa bodaboda wa vibarazani Kuna bodaboda wa bolt na uber hawa jamaa wanapata hela sana kwa siku kukunja elfu 40 ni kawaida
Sio kweli degree akikatwa akikatwa na loan board anapokea laki tano take home kama hakatwi loan board anapokea laki SitaSijazoea kubishana nina ndugu yangu ni mwalimu anakunja 700000 kwa mwezi ukishaondoa makato yote,mkewangu wa zamani anakunja 6400000 kwa mwezi ukishaondoa makato
Kazi zenyewe zipoo, siku hizi bodaboda ni nyingi mno vijiweni, kuliko kazi.
Bodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.
Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.
Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
Wewe ni mbishi sana labda umri unachangia hao niliokutajia nimeziona salary slip zaoSio kweli degree akikatwa akikatwa na loan board anapokea laki tano take home kama hakatwi loan board anapokea laki Sita
Akikopa tu hapo ndomaisha yanaanza kuwa magumu in addition bodaboda hazuiwi kukata Bima kwahiyo Kuna bodaboda wana Bima piaSahihi, ongeza elfu 10 katika 10-15 yake so atakuwa anakusanya 15-25 elfu.
Hawezi kuwa sawa na mwalimu huyu anakusanya hiyo kidogo dogo, kuna maradhi, na vingine vingi vingi.
Mwalimu ana vijipesa uchwara kwa wazazi, bado ana bima ya afya magonjwa ya laki laki hayo hatoboki, anaweza pata mkopo sijui mpaka milioni 10+ huko, hizo fursa boda hana.
Rahisi kumkuta bodaboda ana nyumba na gari na shamba ikiwezekana, kuliko bodaboda.
Muajiriwa akituliza akili tu anatoboa.
Walimu na bodaboda Wapi ni wengiKazi zenyewe zipoo, siku hizi bodaboda ni nyingi mno vijiweni, kuliko kazi.
Ukitaka kuona hili fanya biashara hiyo, wengi hawale hesabu inayotakiwa.
Labda akeshe.Bodaboda yoyote hiyo pesa anakunja mapema tu kabla ya saa Sita
Uko sahihi lakn kuna maticha wanakunja mpunga mrefu tu
Wenye akili wanakopa na maisha ndio yananoga.. Mtu anakopa anunue gari unadhani ataenda wapiAkikopa tu hapo ndomaisha yanaanza kuwa magumu in addition bodaboda hazuiwi kukata Bima kwahiyo Kuna bodaboda wana Bima pia
Umewahi kuwa bodaboda?Kazi za vyombo vya usafiri Tz ni laana! Na c tanzania pekee japo kwingine kuna afadhali kuliko Tz!
Yesu mwokozi aliyajua haya na ndio maana akaagiza punda tu japo kulikua na magari ya kukokota kwa punda na hapo ndipo alipo haramisha hivi vyombo!
Huo uwezo wa bodaboda kupata elfu50/dei haiwezekani na hata ikitokea sio kwa mahesabu hayo unayo piga na kadiri zinavyo zidi kua nyingi ndio mtihani wa kupata pesa unapo zidi kua mkubwa
Angalizo: breki za bodaboda ni HONI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya utafiti, bodaboda wanamiliki makazi yao wenyewe ni wachache kuliko wanaopanga.Hayo ya matumizi hata walimu walevi na Malaya wapo ila bodaboda Kwa mwezi anapiga parefu
Hazuiliwi piaLabda akeshe.
Chiz hl kwani wale 19 tuloaga bukoba nao ni bodabodaUpuuzi wako huu hutarudia kuandika utakapoenda kitengo cha mifupa Muhimbili.
Ni kweli mkuu, ila hii makadirio yangu ni kwa wale wenye wateja wao wa uhakika.Kazi zenyewe zipoo, siku hizi bodaboda ni nyingi mno vijiweni, kuliko kazi.
Ukitaka kuona hili fanya biashara hiyo, wengi hawale hesabu inayotakiwa.
Sio kweli mm Mara ya kwanza dar nilipanga mwananyamala mmliki ni bodabodaUkifanya utafiti, bodaboda wanamiliki makazi yao wenyewe ni wachache kuliko wanaopanga.
Nyumba anayopanga bodaboda ni ya chumba 25,000 banda uani, bodaboda anapata pesa, ila Wanaishi maisha magumu.