Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu!

CCM wameshindwa kuwa na spirit ya kuhoji kwakua akili, ufahamu, utashi vyote wamemkabidhi MTU mmoja anayeitwa Mwenyekiti wa CHAMA! Huyu mara zote anakua na nguvu juu ya kila MTU na Kila kitu, Kwa CCM Mwenyekiti ndio mwenye akili kuliko wote.

Hali hii inawafanya CCM wengi kama Sio wote waishi maisha ya kinafiki sana kwakua wanavizia vyeo na madaraka Ili waibe. Kiujumla Kuna wakati ukiangalia hata at least Waliokuwa wanafanya Vizuri kidogooooo walichukuliwa na Magufuli kutoka Upinzani.

Niwashauri CCM, acheni Ile moto yenu ya ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! Kuna siku atakuja kuwaingiza shimoni kama vifaranga vya Bata.

Makonda hamumpendi kama ilivyokua Kwa Juliana Shonza, Mwita, Katambi, Julius, Dogo janja, Mwambi, Mkumbo na wengine ambao walitoka Upinzani na kuja CCM kushika top positions au nafasi za serikali yenu na nyie mkikenua macho tu kama waliovuta bangi mbichi.
IMG-20231022-WA0189.jpg
IMG-20231022-WA0190.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama kipi cha siasa nchi hii wanachama wake influential hujitokeza kuhoji maamuzi ya viongozi wao wa juu?

Furaha watapata kwa wake zao huyo ndiyo Boss wao kwa sasa au wahamie chama kingine.
 
Ni kama tu uteuzi wa Dk.Mashinji kuwa katibu wa CDM. Wengi hawakupenda kabisaa sema ndio hivyo mwenyekiti ndio kashasema hivyo
 
Hakuna chama cha siasa hapa bongo chenye hali tofauti na hiyo ya ccm.
Kweli lakini sasa watu woote hakuna mpaka lile lipumbavu ambalo halina akili ? Yan watu wotee hao wanaoipambania hiyo chama hawawez hiyo kazi mpaka lile chokostiky ? Aisee kama kuna kipindi nimewadharau kupita maelezo ni kipindi hiki, wamrudishe na sabaya sasa ijulikane moja
 
Ni kama tu uteuzi wa Dk.Mashinji kuwa katibu wa CDM. Wengi hawakupenda kabisaa sema ndio hivyo mwenyekiti ndio kashasema hivyo
Wazee nyie makosa ya ccm mbalinganisha na chadema yan kama mnatafuta draw lakin kumbuken ccm ndio wanaongoza nchi sasa blunder kama hizo zina impact kubwa kwa jamii, chadema hata wakichagua tahira hawaongozi nchi ila ccm wapo madarakan. Sikuwah kudhan kama kuna siku lile fala litateuliwa alafu praise team watakuwa live kama hivi, , tanzania ina ufalasi mwingi sana
 
Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu!

CCM wameshindwa kuwa na spirit ya kuhoji kwakua akili, ufahamu, utashi vyote wamemkabidhi MTU mmoja anayeitwa Mwenyekiti wa CHAMA! Huyu mara zote anakua na nguvu juu ya kila MTU na Kila kitu, Kwa CCM Mwenyekiti ndio mwenye akili kuliko wote.

Hali hii inawafanya CCM wengi kama Sio wote waishi maisha ya kinafiki sana kwakua wanavizia vyeo na madaraka Ili waibe. Kiujumla Kuna wakati ukiangalia hata at least Waliokuwa wanafanya Vizuri kidogooooo walichukuliwa na Magufuli kutoka Upinzani.

Niwashauri CCM, acheni Ile moto yenu ya ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! Kuna siku atakuja kuwaingiza shimoni kama vifaranga vya Bata.

Makonda hamumpendi kama ilivyokua Kwa Juliana Shonza, Mwita, Katambi, Julius, Dogo janja, Mwambi, Mkumbo na wengine ambao walitoka Upinzani na kuja CCM kushika top positions au nafasi za serikali yenu na nyie mkikenua macho tu kama waliovuta bangi mbichi.
Wasiokua na furaha ni wa kambi ile pamoja na jamaa zao wa ni zamu yetu
 
Wazee nyie makosa ya ccm mbalinganisha na chadema yan kama mnatafuta draw lakin kumbuken ccm ndio wanaongoza nchi sasa blunder kama hizo zina impact kubwa kwa jamii, chadema hata wakichagua tahira hawaongozi nchi ila ccm wapo madarakan. Sikuwah kudhan kama kuna siku lile fala litateuliwa alafu praise team watakuwa live kama hivi, , tanzania ina ufalasi mwingi sana
CCM MILELE HIO KAMA MLIWAZA KUTAWALA TAFUTENI NCHI NYINGINE MPELEKE UJINGA WENU
 
Mkuu hakuna chama nisichokipenda kama CCM.nilishawah kutofautiana na mzee wangu kisa CCM during the very first time napiga kura nimetimiza 18 years.

Chadema ni chama ambacho kwasasa wame break my heart na sina tumain tena na siasa za ukombozi za wapinzani.

Ndio maana unaona napenda sana kulinganisha kwakua nilikuja kugundua wote hawa hawana jema.

NB.
Ukiweka ccm na andazi nachagua andazi
 
Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu!

CCM wameshindwa kuwa na spirit ya kuhoji kwakua akili, ufahamu, utashi vyote wamemkabidhi MTU mmoja anayeitwa Mwenyekiti wa CHAMA! Huyu mara zote anakua na nguvu juu ya kila MTU na Kila kitu, Kwa CCM Mwenyekiti ndio mwenye akili kuliko wote.

Hali hii inawafanya CCM wengi kama Sio wote waishi maisha ya kinafiki sana kwakua wanavizia vyeo na madaraka Ili waibe. Kiujumla Kuna wakati ukiangalia hata at least Waliokuwa wanafanya Vizuri kidogooooo walichukuliwa na Magufuli kutoka Upinzani.

Niwashauri CCM, acheni Ile moto yenu ya ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! Kuna siku atakuja kuwaingiza shimoni kama vifaranga vya Bata.

Makonda hamumpendi kama ilivyokua Kwa Juliana Shonza, Mwita, Katambi, Julius, Dogo janja, Mwambi, Mkumbo na wengine ambao walitoka Upinzani na kuja CCM kushika top positions au nafasi za serikali yenu na nyie mkikenua macho tu kama waliovuta bangi mbichi.
sio kwenye siasa tu hata maisha ya kawaida unafiki unatawala,ili uwe upande salama either kazini au kwenye familia lazima umnafikie yule au wale wa ngazi za juu,naweza sema maana ya unafiki ni kukubaliana na jambo kutoka ngazi ya juu lakini kimoyoni huna uafiki nalo.
 
Mkuu hakuna chama nisichokipenda kama CCM.nilishawah kutofautiana na mzee wangu kisa CCM during the very first time napiga kura nimetimiza 18 years.

Chadema ni chama ambacho kwasasa wame break my heart na sina tumain tena na siasa za ukombozi za wapinzani.

Ndio maana unaona napenda sana kulinganisha kwakua nilikuja kugundua wote hawa hawana jema.

NB.
Ukiweka ccm na andazi nachagua andazi
Kweli mkuu nlishawah kusema ili ccm wakupenmadaraka inabid uwe zezeta na tahiraa haya yanajidhihirisha bayana kabisa, yani kati ya watuu woote makonda ndio kafiti ? Alafu yanamshangilia, upumbavu wa ccm upo wazi sana masta aisee
 
Ukweli ni kwamba Mama 'kaupiga mwingi' hadi unamwagika. Upande wa pili kazi kwenu..
Sijui mnanielewa ndugu zangu?!
 
Kweli mkuu nlishawah kusema ili ccm wakupenmadaraka inabid uwe zezeta na tahiraa haya yanajidhihirisha bayana kabisa, yani kati ya watuu woote makonda ndio kafiti ? Alafu yanamshangilia, upumbavu wa ccm upo wazi sana masta aisee
Nilimuhoji mtu mmoja jana kwamba "hiv huko ccm hakunaga watu wenye uwezo tofauti na hi teuzi zinazojirudia miaka nenda rud kupokezana vijiti, hakuna watu wenginse wanaopikwa"? Hakunipa jibu
 
CCM MILELE HIO KAMA MLIWAZA KUTAWALA TAFUTENI NCHI NYINGINE MPELEKE UJINGA WENU
Mkuu unadhani niko chadema wala sijui act ? Hapana mkuu me natawala maisha yangu na sio lazima niwe mpuuzi kama ninyi ndio nile, nitawale nini sasa ? Upumbavu wenu huo ndio mana wenzenu wanawafanya mbuzi wa kafara me na machama yenu hayo sipo, ila upumbavu wa ccm uko very obvious….eti kutawala, kutawala ya konyozzz….
 
Back
Top Bottom