Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

Mimi huwa nashangaa sana,CCM ni taasisi ambayo uwepo wake unategemea Wanachama wake ambao wana kadi za uanachama na wanazilipia kila mwaka.Sasa inakuaje Mwanachama kusema hamtaki Mwanachama mwengine kwasababu personal wala hazipo ata kwenye miongozo ya chama.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Labda hizo ni zile zinazoitwa ‘ Chuki binafsi ‘ 😅🙏
 

Attachments

  • E7721594-4817-4FC7-8851-6BC9088E2713.jpeg
    E7721594-4817-4FC7-8851-6BC9088E2713.jpeg
    9.9 KB · Views: 1
Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu!

CCM wameshindwa kuwa na spirit ya kuhoji kwakua akili, ufahamu, utashi vyote wamemkabidhi MTU mmoja anayeitwa Mwenyekiti wa CHAMA! Huyu mara zote anakua na nguvu juu ya kila MTU na Kila kitu, Kwa CCM Mwenyekiti ndio mwenye akili kuliko wote.

Hali hii inawafanya CCM wengi kama Sio wote waishi maisha ya kinafiki sana kwakua wanavizia vyeo na madaraka Ili waibe. Kiujumla Kuna wakati ukiangalia hata at least Waliokuwa wanafanya Vizuri kidogooooo walichukuliwa na Magufuli kutoka Upinzani.

Niwashauri CCM, acheni Ile moto yenu ya ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! Kuna siku atakuja kuwaingiza shimoni kama vifaranga vya Bata.

Makonda hamumpendi kama ilivyokua Kwa Juliana Shonza, Mwita, Katambi, Julius, Dogo janja, Mwambi, Mkumbo na wengine ambao walitoka Upinzani na kuja CCM kushika top positions au nafasi za serikali yenu na nyie mkikenua macho tu kama waliovuta bangi mbichi.
TULIZA KIJAMBIO WEWE KENGE ...SUKUMA GANG TUNARUDI CHWAAA NA LEGACY YETU BADO SAMIA KUMPISHA POLEPOLE 2025 KUWA MGOMBEA PEKEE WA URAIS

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Tambua tu kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na watu wasiozidi hata kumi. Hata raisi wa nchi huchaguliwa na watu wasiofika kumi
Uchaguzi Tanzania ni sarakasi tu ili tuonekane tuna demokrasi.
Tangu 1995 wakati marehemu Dr Omar Ali Juma aliposema CCM Itaunda serikali hata wawe wawili tu hadi 2020 iliposemwa hata mukiwapa kura wapinzani bado CCM itaendelea kutawala.
 
Back
Top Bottom