Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

Kingwagwala alisema CCM hawaruhusiwi kuhoji maamuzi ya Mwenyekiti wao.
 
Hawa wote wanahitajina. Makonda anaihitjai sana CCM, na CCM pia inamhitjai Makonda
 
Unauhakika? Mbona sisi tumefurahi sana tuuuuuu
 
Duh!
Unamaanisha Nape na anaofanana nao au CCM wavaa flana na vitenge vya CCM wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…