Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

Sasa watakula wapi ndugu yangu
 
Acha hasira,hasira hasara
 
Kabisa!
 
Kwanini hawaupingi huo uteuzi huko chamani ?
 
Hili la makonda kiukweli limetia DOA Chama, waNEC wengi wameguna na kuongea sana nje ya kikao, kinana na Jk walionekana wa baridiiiii
wa NEC wagune wakati wao ndiyo wamempitisha Makonda wacha unafiki.
 
Tambua tu kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na watu wasiozidi hata kumi. Hata raisi wa nchi huchaguliwa na watu wasiofika kumi
 
Hawampendi kwasababu hawezi kazi au hawampendi kwa chuki zao binafsi?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tulishasemaga humu kitambo hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mwenyekiti !!
Locuta causa finita [emoji120][emoji120][emoji120]

Kidogo kidogo watu wataelewa tu !! [emoji28][emoji28]
Mimi huwa nashangaa sana,CCM ni taasisi ambayo uwepo wake unategemea Wanachama wake ambao wana kadi za uanachama na wanazilipia kila mwaka.Sasa inakuaje Mwanachama kusema hamtaki Mwanachama mwengine kwasababu personal wala hazipo ata kwenye miongozo ya chama.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kama Lowasa alikuwa mgombea wa chadema tena nafasi ya Urais, sasa wana ccm wamchukie Makonda kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…