Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

Labda hizo ni zile zinazoitwa β€˜ Chuki binafsi β€˜ πŸ˜…πŸ™
 
TULIZA KIJAMBIO WEWE KENGE ...SUKUMA GANG TUNARUDI CHWAAA NA LEGACY YETU BADO SAMIA KUMPISHA POLEPOLE 2025 KUWA MGOMBEA PEKEE WA URAIS

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Tambua tu kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na watu wasiozidi hata kumi. Hata raisi wa nchi huchaguliwa na watu wasiofika kumi
Uchaguzi Tanzania ni sarakasi tu ili tuonekane tuna demokrasi.
Tangu 1995 wakati marehemu Dr Omar Ali Juma aliposema CCM Itaunda serikali hata wawe wawili tu hadi 2020 iliposemwa hata mukiwapa kura wapinzani bado CCM itaendelea kutawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…