Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli

Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box .

Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya TL hawezi fanya kama hatoboreshwa .

JPM pamoja kuwa Rais bora alihitaji maboresho yafuatayo ambayo hata TL anahitaji
1. Kupokea ushauri ,kuutafakari kama mzuri kuufanyia kazi .

2.Kukubari kukosolewa , yaani sio mtu akikosoa anakuwa adui

3.Kama binadamu huwezi kuwa sahihi muda wote ,hivyo ni vizuri kufikiri zaidi kabla ya kutenda au kusema .

Bado naamini TL ni presidential material aandaliwa .

Yaliyosemwa hapa hata TL angekuwa CCM kwa nafasi ya JPM yasingekuwa na Tofauti .

Ni mtazamo tu wana CDM na CCM muelewe .​
 
View attachment 2985467

JPM alikuwa na nia njema lakini kunguni wakamuingilia kichwani akageuka kichaa! Kunguni Saabaya, Makonda na Saa100 alimroga kabisa
 
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli

Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box .

Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya TL hawezi fanya kama hatoboreshwa .

JPM pamoja kuwa Rais bora alihitaji maboresho yafuatayo ambayo hata TL anahitaji
1. Kupokea ushauri ,kuutafakari kama mzuri kuufanyia kazi .

2.Kukubari kukosolewa , yaani sio mtu akikosoa anakuwa adui

3.Kama binadamu huwezi kuwa sahihi muda wote ,hivyo ni vizuri kufikiri zaidi kabla ya kutenda au kusema .

Bado naamini TL ni presidential material aandaliwa .
View attachment 2985467
Yaliyosemwa hapa hata TL angekuwa CCM kwa nafasi ya JPM yasingekuwa na Tofauti .

Ni mtazamo tu wana CDM na CCM muelewe .​
Usimlinganishe Mwamba Jiwe Magufuli na vitu vya hovyo hovyo!
 
Lissu ni dikteta mbaya sana,alimsema tu Magufuli lkn Magufuli hakuwa dikteta,Lissu ataua sana na kuumiza watu hafai hata kwa mtendaji wa kijiji.
Umetumia vigezo gani?, Hurka ya Lisu na Magufuli vinaendana sana mara zote wote husimama upande wa wananchi hasa wasioweza kujitetea dhidi ya Mabeberu weusi.
 
Back
Top Bottom