Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

Tofauti ni kubwa Lisu haonei aibu mafisadi hivyo wezi watapata hukumu ya kweli kwa mujibu wa sheria ila chuma amelinda sana wezi na wahalifu hadi leo wanatamba ilikua labda utofautiane nae binafsi sasa huyo sio kiongozi
 
Magufuli ni mkatili, Lisu ni mtu mwenyewe huruma.
 
Ukiwapata wewe kwenye Nchi Yako inatosha sana,sie wengine hatutaki uchuro.
 
TL is visionary leader
Jpm alikuwa vizuri Ila alipambania cheo na madaraka na kusahau kuacha alama chanya.
 
Lissu hana uzalendo wowote ni mla rushwa na opportunist.

Watoto wake wote ni raia wa Marekani, anakuwaje anaipenda Tanzania?
Kalaghabhaho!!
Kama uliwahi mpa rushwa akapokea, weka ushahidi hadharani, vinginevyo wewe ni mtoto wa baba wa uongo.
 
Huwezi fuata sheria na still ukaweza leta maendeleo na kusimamia haki ,ndio maana nchi kama China ,Russia hawasaini mikataba ya kimataifa ya haki za Binadamu .
Kwa hiyo mifano yako ya nchi zenye maendeleo zisizosaini mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu ni mbili tu!!???
Je, nchi za Ulaya,Asia,Marekani ambazo zimesaini mikataba hiyo hazijaendelea!!??
Elimu
Elimu
Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…