Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Holland ni nchi ambayo karibu 30% iko chini ya usawa wa bahari ndio maana wanafanya hivyoTatizo ni mipango miji
Yaani kutoa viwanja holela unauziwa kiangazi na masika nyumba inabadilika kuwa meli iliyopaki
Wa kuwalaumu ni hao wasiokuwa na maono unagawaje viwanja kwenye mikondo ya maji
Hata kama kuna mkondo na maji yanapita yaheshimiwe maana yana nguvu kutuzidi sio kila mahali ni kujenga tu
Wenzetu Holland ukipaona wao kwa ujenzi nawakubali duniani
Wameamua sehemu zingine kuweka maji na nyumba za kuelea hakuna magari badsla yake ni maboti yanapita juu ya maji
Kwa sisi ni ngumu kufikia huko maana nawaza kama ya Nigeria kwa uchafu
Bei ya Viwanja huko Tegeta , Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala , lakini linapokuja suala la Mvua , Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta , Bunju na Boko
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini ?
Baraka.Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Hadhi ndani ya mafuriko!Status/hadhi
Suala la mafuriko sio bongo tu hata nchi zilizoendelea wanapigwa na mafuriko tena kwenye majiji yao makubwaAcha waendelee na status
View attachment 2877345
😁🤣🤣Mbagala udongo wake kichanga kama kigamboni
Mbezi bunju mbweni boko nk
Dongo mfinyanzi
Ova
Haujawahi kuona mafuriko ndani ya California jimbo tajiri zaidi MarekaniHadhi ndani ya mafuriko !