Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

Nchi ipo huko! Ukiona elites na senior citizens wanakimbilia kujenga sehemu acha kujiuliza maswali mengi kajibanze huko fasta.

Akili mtu wangu .... Huu ukanda kuanzia Goba/Makongo juu, Mbezi beach, Salasala, tegeta, boko, ununio, mbweni, Bunju ndio top class Bongo!
 
Holland ni nchi ambayo karibu 30% iko chini ya usawa wa bahari ndio maana wanafanya hivyo
Lakini pia ni elimu yao imewafikisha hapo wana wataalamu wa uhakika
Sisi sehemu korofi ndio tunajenga kama pale waliweka mabasi ya mwendokasi unaniambia walikuwa hawajui kuwa maji ndio njia yake hapo
 
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.

Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Bunyu tegeta ni kinondoni huko ndiko waliko mataita pia ni karibu kwenda katikati ya mji,mbaghara ni uswazi
 
Back
Top Bottom