MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Naam... Ndugu yangu kahama Chamazi, uswahili mwingi 🤣🤣🤣🤣Shida ni majirani wanaokuzunguka. Wana mwamko wa maendeleo? Elimu? Au ndo full kupiga nyanga 365days a year.
Kuna mtu aliwahi kuniambia ukitaka kununua sehemu kwa ajili ya kuishi angalia majirani zako. Nami nikajiongeza huwa naangalia na maduka ya dawa za asili. Nikiona yako mengi nakimbia kama Usain bolt.