Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

Legos kinyaa
Zaidi ya 70% ya wakazi wa Lagos hawana maji masafi na kuchafu sana
Wanaigeria mpaka Airport yao kuna Panya wanaranda randa
Waliwahi kuleta kwenye documentary moja
Screenshot_20240120_205850_Google~2.png
Screenshot_20240120_205926_Google~2.png
 
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.

Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Nakuelewa Mkuu, Ila demand and supply ndio inaamua thamani ya eneo. Miundombinu, Rasilimali chini ya ardhi, proximity to the CBD, logistics, Milima yenye ukijani na fukwe ni baadhi vichocheo vya demand. Na hii siyo Tanzania tu bali dunia nzima. Kuna miji ambayo ina maafa ya kila aina ikiwemo mafuriko na vimbunga lakini ndiyo yenye mvuto kwa watu kila mtu anataka kuishi huko: Amsterdam, London, Valencia, Lake Geneva coast, Santa Monica, Santa Barbara, San Diego, the Saigon City, Capetown n.k.
Sehemu ambayo huwa nashangaa imekuwaje kuwa squtter licha kubarikiwa ni Kigamboni, Rungwe hills, Kilwa beach, Bagamoyo na Kijichi
 
Lakini pia ni elimu yao imewafikisha hapo wana wataalamu wa uhakika
Sisi sehemu korofi ndio tunajenga kama pale waliweka mabasi ya mwendokasi unaniambia walikuwa hawajui kuwa maji ndio njia yake hapo
Mkuu pale wenye taaluma zao wanajenga bila kuvuruga mkondo wa maji chini sasa sisi tuna kauli ya kipuuzi eti maji yanakimbia watu ndio maana unaona watu wanajenga hata Viongozi kukemea wanashindwa mimi tu sio mtaalamu wa ujenzi nilishangaa kuona sehemu ya ma bus pale yaani magari yapo mtoni maana miaka yote tunaona mkondo wa maji ukiongezeka...
 
Nchi ipo huko! Ukiona elites na senior citizens wanakimbilia kujenga sehemu acha kujiuliza maswali mengi kajibanze huko fasta.

Akili mtu wangu .... Huu ukanda kuanzia Goba/Makongo juu, Mbezi beach, Salasala, tegeta, boko, ununio, mbweni, Bunju ndio top class Bongo!
Nakupa hadithi fupi kidogo, siku zote wachaga huogopa sana kabila za Pwani kwa hofu ya uchawi, same to Chanika, kapo ka imani Chanika huwezi jifugia ngombe wakastawi, ni lazima atakufa kitu ambacho si cha kweli, in short watu hukimbia sehemu wanazohisi zina uchawi na vijicho.
 
Wabongo wajinga tu,hakuna sehemu ardhi ni nzuri kama kisemvule,nilikuwa na kiwanja bagamoyo nikakiuzilia mbali,baada ya kuona tabu wanayopata majirani zangu,uko job mvua ilianza tu,ni mashaka matupu,kisemvule nimetulia nainjoy mvua ,siiogopi tena,kama sasa hivi hapa naangalia mabata yangu yanaogelea
 
Kabali yenu ni Kisarawe ndie anayecheua hayo maji yote mnayoangaika nayo huko mjini.Suluhisho Kisarawe ichukuliwe na Ilala na Makao makuu ya wilaya ya Kisarawe yapelekwe Maneromango huko.
 
Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.

Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Hata huko mbagala wakianza kujenga mahekalu kama bunju mafuriiko hayaepukiki
 
Nafikiri watu wengi hawapendelei kujenga Mbagala kwa ssb sehemu kubwa ya mji haujapangiliwa. Pia tamaduni za watu wa Pwani kwa mtu ambaye sio mzawa sio rahisi kuendana nazo hasa hasa mambo kama vishughuli shughuli vinavyofanyika mtaani. Mbagala maeneo mazuri kuishi labda Mtoni Kijichi pamoja na Mgeni Nani.
Naishi Kijichi, karibuni very classic na tulivu!! Hakuna waswahili wala mafuriko...!!
 
Wabongo wajinga tu,hakuna sehemu ardhi ni nzuri kama kisemvule,nilikuwa na kiwanja bagamoyo nikakiuzilia mbali,baada ya kuona tabu wanayopata majirani zangu,uko job mvua ilianza tu,ni mashaka matupu,kisemvule nimetulia nainjoy mvua ,siiogopi tena,kama sasa hivi hapa naangalia mabata yangu yanaogelea
Daah kwa hiyo kujenga tu kisemvule umewazidi akili waliojenga Bunju hii hatari sana...
 
Back
Top Bottom