Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hujui kitu kuhusu uchumi na biashara..na zaidi hujui chochote kuhusu biashara ya nafaka kati ya tz na majiraniAise ngoja nikae kimya tonatofautiana mtazamo.
Writing behind the keyboard it is ok.Ni hujui kitu kuhusu uchumi na biashara..na zaidi hujui chochote kuhusu biashara ya nafaka kati ya tz na majirani
Kwa hiyo unataka serikali iwe inaenda inawapigia magoti wakulima ili na kuwaomba wawe wanaweka akiba.
Hamna shida Si mmepata hela saivi, msimu ujao tutawakodishia hekali moja kwa laki 3, kila mtu afe na chake.Wewe ni mkulima?tuache sisi wakulima hasa wa mpunga tupate faida tufidie hasara tuliyoipata kwa zaidi ya miaka 7,kwa kuuza mazao yetu kwa hasara huku pembejeo zikiwa juu
Sijakushikilia lakini wewe ni mmoja wa madalali machawa wa matajiri.Wewe ni mkulima?tuache sisi wakulima hasa wa mpunga tupate faida tufidie hasara tuliyoipata kwa zaidi ya miaka 7,kwa kuuza mazao yetu kwa hasara huku pembejeo zikiwa juu
KabisaHuyo mjulima ndio alime na cha akiba.
Dalali hanunui bila makubaliano na mapatano.
Kumbe! Ndio hivyoRais mkwele alichagua baadhi ya mikoa kuwa ghara la chakula mikoa hiyo morogoro mbeya songwe songea sumbawnga wakulima walikuwa wakivuna serikali inanunua mahindi inaweka akiba.
Ikitokea njaa serikali inawazia kwa bei ilionunulia alipo kuja rasi mshezi akasema hakuna chakula cha bule asie fanya kazi asile akakimbilia kufunga mipaka huo ni ujinga.
Kilimo ni biashara kama zingine huwezi mzuiya mtu kuuza biashara yake atakako lamuhimu serikali iludishe mpango wa kununua mahindi mpunga.
Hilo ni swali la kijinga sana, utamu wa oesa zikutumikie, sio uzitumikie.
Ningumu mkuu wakulima wengi ni maskini wa kipato wengi wanauza mazao kabla ya kukomaa, wanauza mazao kabla ya kuvuna wanakuwa wameshachukua pesa siku ya kuvuna mazao yanakuwa siyo mazao yao tena.Anatakiwa afikirie mbele kuweka akiba kwa ajili ya matumizi kwa familia.
Sasa hiyo pia serikaali inatakiwa imuekee sheria mkulima ya kubakisha chakula kwa ajili ya familia?
Kweli mkulima anauza mazao kabla ya kuvuna kwaiyo hawezi kujiwekea akibaHakuna mkulima mdogo,ambao ndio 95% ya wakulima nchini,ambaye anauza sasa kwa bei kubwa.
Wanaouza ni wachuuzi ambao hawajui hata mpunga unavumwaje shambani.
Wakulima walushauza kitambo kwa bei ya njaa kwa sababu hata maghala ya kutunzia vyakula hawana
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hivi nyinyi mbona mna akili za kipumbavu? wananyonywa kwani hao mnao waita madalali walienda kwa wakulima na bunduki na kuwarazimisha wawauzie hayo mazao yao kwa hiyo bei inayo itwa ndogo?Sijakushikilia lakini wewe ni mmoja wa madalali machawa wa matajiri.
Mlishawanyonya wakulima sasa msisingizie eti wakulima wanapata faida.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo kosa la serikali liko wapi?Ningumu mkuu wakulima wengi ni maskini wa kipato wengi wanauza mazao kabla ya kukomaa, wanauza mazao kabla ya kuvuna wanakuwa wameshachukua pesa siku ya kuvuna mazao yanakuwa siyo mazao yao tena.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ni kuwa ruhusu raia kutoka nchi jirani kwenda kununua chakula kwa madalali, Serikali ingeweka mkakati wa kujenga viwanda ili tuweze kuzalisha unga na kupaki nafaka kwenye vifunga shio, kuliko kuuza mazao kiolela, mfano Bakhressa akijenga viwanda vya kuzalisha unga, mchele, maharage hii itamsaidia mkulima kuuza bidhaa za shambani kwake moja kwa moja kiwandani kuliko kupitia kwa walanguzi .Sasa hapo kosa la serikali liko wapi?
Kwa asilimia kubwa huwa ni mipangilio isiyo mizuri ya familia. Lazima watu wajitahidi kuweka akiba ya chakula. Niliwahi kuishi Mwanza na kuliona hili, mkulima anavuna mazao mengi na kipindi cha mavuno ndiyo ngoma huwa zimeshamiri (sijui inaitwa gobogobo?). Pale chakula ndiyo kinapotea kwa wingi bila ya kujua kuwa kesho kutwa kitahitajika kwa ajili ya familia.Ningumu mkuu wakulima wengi ni maskini wa kipato wengi wanauza mazao kabla ya kukomaa, wanauza mazao kabla ya kuvuna wanakuwa wameshachukua pesa siku ya kuvuna mazao yanakuwa siyo mazao yao tena.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hivi duniani kuna biashara isiyo kuwa dalali?Ni kuwa ruhusu raia kutoka nchi jirani kwenda kununua chakula kwa madalali, Serikali ingeweka mkakati wa kujenga viwanda ili tuweze kuzalisha unga na kupaki nafaka kwenye vifunga shio, kuliko kuuza mazao kiolela, mfano Bakhressa akijenga viwanda vya kuzalisha unga, mchele, maharage hii itamsaidia mkulima kuuza bidhaa za shambani kwake moja kwa moja kiwandani kuliko kupitia kwa walanguzi .
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hawa ndio ''wanyonge" wanaotaka serikali iwasaidie Hadi jinsi ya kufikiriIla waafrika huna ni watu tunao penda kudekezwa kama watoto.
Kwani hao wakulima huwa wanashikiwa bunduki kuuza hayo mazao yao kwa bei ndogo?
Je, hao wakulima ni watoto wadogo mpaka washinde kuweka akiba ya chakula mpaka wanauza chote?
Yaani mtu umeowa una mke na watoto unashindwa kujua kuwa ukivuna unatakiwa kuweka akiba ya chakula kwa ajili ya familia yako mpaka ukumbushwe na serikali? Mbona kuoa na kuzaa watoto haukiusubili serikali ukukumbushe?
Je, wafanya biashara unao waita madalali wao hawana haki ya kupata faida?