Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Utawaamini tu siku watakapokushusha kwenye ziwa VictoriaMara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Bora hizo Airbus zinatumia muda mfupi kuliko kwenda Mwanza kuliko Bonbadier.
Ndege ukiwa angani unaweza kuweka autopilot.Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Kipi hasa kinachokufanya usiwaamini? "majina" yao au utendaji kazi wao?Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Bibi umeutendea haki umri wako!Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.
Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
Point......Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.
Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
CHILDISH.Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.
Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
Ndege ukiwa angani unaweza kuweka autopilot.
Gari ukijaribu utakufa.
Rubani ni dereva wa angani tu.
Kitakwimu, una nafasi kubwa zaidi ya kuoata ajali ya gari kuliko ya ndege.
Kwenye gari nako huwaamini madereva Waswahili kuliko wa kimataifa?
Afadhali hata airbus route za Mwanza.
Route za huku kwetu Mbeya pangaboi akikutana na ukinzani ndege nzima tunanena Kinyakyusa.
Na mimi nimejiuliza hivyo hivyo. Lakini Britanicca amemuelewa, na comment ame like!Umeandika nini hii?Hebu soma ulichoandika,unakimbizwa au?
[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali hata airbus route za Mwanza.
Route za huku kwetu Mbeya pangaboi akikutana na ukinzani ndege nzima tunanena Kinyakyusa.
Hakika UmenenaKwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu