Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Penda vya kwenu.....usipende vya wenzakoMara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Unadhani urusi nakujaga Kwa Meli?Ushawahi kupanda ndege britanicca
Hahahahaha!
Hahahaahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Goodmorning ladies and gentlemen, this is your pilot Mpili speaking. I just wanna say thank you for flying southwest and this is your last flight..."
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Pilot mzuri awe amerusha ndege za kijeshi , maana wanajua maneuvering za kila aina na huwa ni jasiri na wenye maamuzi ya harakaMara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Kwani elimu waliyosoma kuna tofauti?Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Aiseeee nacheka kama mazuri ati kile kitabu siku ya gulio kate........Mkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.
Poleni kwa ajali ya ndege Bukoba!. Bukoba sijui vipi?, Tangu Vita vya Kagera, ndio vita iliyoua watu wengi Tanzania kuliko vita nyingine yoyote nchini Tanzania. Ukaja ugonjwa wa Ukimwi, ukiitwa Juliana, Bukoba ndio the most hit kabla ya kusambaa kungine kote!. Ikaja ajali ya MV Bukoba ni Bukoba, hii ndio ajali kubwa ya meli iliyouwa watu wengi kuliko ajali nyingine yoyote ya meli Tanzania!. Likaja Tetemeko la Ardhi Bukoba, ndilo tetemeko kubwa kuliko matetemeko yote Tanzania, na sasa hii ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba, ndio ajali kubwa ya ndege iliyo ua watu wengi kuliko ajali zote za ndege nchini Tanzania, imetokea ni Bukoba!.
Pamoja na majanga haya, pia kuna mambo mazuri ya Bukoba. Ingefanywa sensa ya wasomi wa kiwango cha Ph.D unaweza kukuta watu wa Bukoba ndio wanao ongoza kwa idadi ya Ph.D na ma profesa,
Chakula kinachoongoza kwa protein ni senene akifuatiwa na kumbikumbi wanapatikana Kagera.
Kuna fani fulani ambayo Baganda women wanaongoza bara la Africa, baada ya Baganda wa pili ni Bahaya!.
Pia kwenye tiba asili Bukoba wanaongoza kwa most effective tiba asili wakifuatiwa na Wamasai na pia Bukoba ndio wanao ongoza kwa utaalamu wa mambo fulani, hivyo vitu kama shuntama na limbwata is real na sii mchezo bila kusahau kile kijiji cha ile siku ya Gulio ya kwenye kitabu cha Kiswahili Darasa la 4 la zamani!.
Poleni sana ndugu zetu wa Bukoba.
P
...Alikuwa Hawaamini Waafrika Wenzake! Hata Suti zake alikuwa anashonea London Uiengereza na Sio Nairobi Kenya!Kwanini
...Mkuu Mayalla, Ile Ajali ya MV Bukoba ninaamini ndiyo iliyouwa Watu Wengi Kuliko Ajali nyingine ya Chombo Chochote Cha Moto Kwa hapa Tanzania, Kama Sio Afrika Mashariki yote na inawezekana na Afrika Nzima?? Watu 800??Mkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.
Poleni kwa ajali ya ndege Bukoba!. Bukoba sijui vipi?, Tangu Vita vya Kagera, ndio vita iliyoua watu wengi Tanzania kuliko vita nyingine yoyote nchini Tanzania. Ukaja ugonjwa wa Ukimwi, ukiitwa Juliana, Bukoba ndio the most hit kabla ya kusambaa kungine kote!. Ikaja ajali ya MV Bukoba ni Bukoba, hii ndio ajali kubwa ya meli iliyouwa watu wengi kuliko ajali nyingine yoyote ya meli Tanzania!. Likaja Tetemeko la Ardhi Bukoba, ndilo tetemeko kubwa kuliko matetemeko yote Tanzania, na sasa hii ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba, ndio ajali kubwa ya ndege iliyo ua watu wengi kuliko ajali zote za ndege nchini Tanzania, imetokea ni Bukoba!.
Pamoja na majanga haya, pia kuna mambo mazuri ya Bukoba. Ingefanywa sensa ya wasomi wa kiwango cha Ph.D unaweza kukuta watu wa Bukoba ndio wanao ongoza kwa idadi ya Ph.D na ma profesa,
Chakula kinachoongoza kwa protein ni senene akifuatiwa na kumbikumbi wanapatikana Kagera.
Kuna fani fulani ambayo Baganda women wanaongoza bara la Africa, baada ya Baganda wa pili ni Bahaya!.
Pia kwenye tiba asili Bukoba wanaongoza kwa most effective tiba asili wakifuatiwa na Wamasai na pia Bukoba ndio wanao ongoza kwa utaalamu wa mambo fulani, hivyo vitu kama shuntama na limbwata is real na sii mchezo bila kusahau kile kijiji cha ile siku ya Gulio ya kwenye kitabu cha Kiswahili Darasa la 4 la zamani!.
Poleni sana ndugu zetu wa Bukoba.
P
Utaambiwa "Please get seated as we change course and start heading towards the graveyard. Thank you"Hahahaahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitalazimisha kushuka
Unamaanisha Watanzania hawawezi kua marubani kwa sababu ni waswahili mbona kama unajipaka mavi mwenyewe au we raia wa ChadMara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Mkuu hakuna kazi rahisi kama kuendesha ndege, hata gari ni vigumu kuendesha kuliko ndege. Hao jamaa huwa wanafanya monitoringe tu. Nikwambie tu hakuna binadam asiye na stress duniani sijui awe anaishi katika ulimmwengu wake. Kinacholingwa sana katika ndege ni afya ya marubani wote hasa vyakula wanavyokula. Tena sio kwa ndege zote, ni ndege za long haul tu ambazo zinaruka masaa mengi angani, na hii ni kutaka kuepusha marubani wote kupoteza uwezo wa kuiongoza ndege.Rubani ni mtu anayetakiwa kuwa, Physical and Mentally Fit muda wote, Rubani anatakiwa asiwe na Stress wala Hali yoyote ambayo itamsababishia kero yoyote kichwani kwake, ili isiwe rahisi kwake kufanya makosa ya Kibinadamu (Human Error) kwa Urahisi. Kurusha Ndege Ni kitu Sensitive Sana, Siyo kwamba hali ya hewa ikiwa mbaya basi Ndege inapata ajali, hapana, ingekuwa hivyo basi kila siku kungekuwa na ajali za Ndege. Hali mbaya ya hewa Angani, Ni Kama wewe ukiendesha gari, halafu ukakuta mashimo, Sasa Siyo lazima gari lipate ajali pale. Sasa kwa Ndege kwa kuwa ukiwa Angani huwezi kupaki, basi Kuna hitaji utulivu Mkubwa wa akili pale unapokutana na hali ya hewa mbaya, maamuzi yako Mazuri ndio yatakuwezesha kutoka salama. Kwani Rubani hawezi tu kupata ajali eti kwa sababu tu ya Hali ya hewa mbaya, never ila Sasa Rubani huyo ame act vipi kutokana na hiyo Hali ya hewa ? Hapo Sasa Hali ya hewa mbaya inaweza ikawa ndio chanzo Cha Rubani, kufanya makosa (Human Error) ambayo yatasababisha Ajali.
Sasa je, Maisha ya Marubani wetu, huku kwetu yapo Sawa na ya wenzetu wa huko nje ? Kuepusha Human Error ?
hehheAngani hamna bamz wala [emoji730].
Marubani hawana tatizo labda ndege zizingue tuu.
Angani kuna bams fuatiliaAngani hamna bamz wala [emoji730].
Marubani hawana tatizo labda ndege zizingue tuu.
HahahahahYAANI UKAE KWENYE JENEZA KWA AMANI, ACHA MASIHARA.
Mkuu uko 'dip' sana...Mkuu hakuna kazi rahisi kama kuendesha ndege, hata gari ni vigumu kuendesha kuliko ndege. Hao jamaa huwa wanafanya monitoringe tu. Nikwambie tu hakuna binadam asiye na stress duniani sijui awe anaishi katika ulimmwengu wake. Kinacholingwa sana katika ndege ni afya ya marubani wote hasa vyakula wanavyokula. Tena sio kwa ndege zote, ni ndege za long haul tu ambazo zinaruka masaa mengi angani, na hii ni kutaka kuepusha marubani wote kupoteza uwezo wa kuiongoza ndege.
Ndege ina marubani 2 na kila rubani anamwangalia mwenzake kama atakosea amrekebishe, japo rubani mmoja ndio mmwenye mamlaka na amri zote ndani ya ndege, na ndie mmiliki wa ndege ikiwa angani kwa maana ya amri, ni kama rais wa nchi vile.
Ndege hujiongoza na kujiensesha yenyewe kwa kutumia mfumo unaitwa autopilot hivyo rubani Hubaki kuangalia tu mwwnendo wa safari, kufanya mawasiano, na kuingilia kati (sio kuendesha) kubadili nyuzi ili ielekee uelekeo mwingine inapotokea hatari, na ndege zingine hudetect hatari zenyewe na kukata kona kuelekea sehem salama.
Kama ulikuwa haujui marubani hupitiwa usingizi pia ndege ikiwa angani, na kuna mda mmoja hulala na kumwanchia mwenzake, so zile kapitiwa dakika kadhaa huwa zipo. Na ndege ikigundua amesinzia humwamsha kwa kupiga a lam ila kwa ngldege za kisasa sana sio zote
[emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dereva wa pilot?!