Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

sahihi kabisa hapo mwishoni(musterbate)
 
Naoa nipate utulivu na amani ya moyo.Naona siwezi kuvipata kwa huyu sababu sina hisia nae kabisa
 
Ahsante sana
 
Watoto wa kiume tena wa Da Slam.
Haya,mbege,chips mayai, unachoka sana. Sasa kama uwezo huo huna,unataka nini tena? Na wewe inaonekana mfuko wa nguvu zako ulishatoa ukalia ugali,mayai ukakaangia chips.
Kajiunge CHAPUTA, acha kuhangaika na wanawake huwawezi.
 
Mkuu,Kwa Mtazamo wangu,Kama shida yako ni kuoa na kuanzisha familia meaning watoto hata huyo OA.Kama lengo lako ni kutafuta soulmate wako mnayeshibana basi MY FRIEND ulizingua na umezingua.Ushauri wangu kama shida ni hiyo effect ya masturbation ambayo ndio inayomsumbua huyo binti basi ni kukaa na kuzungumza maan huyo hakuwa anasuguliwa na ME,it either alikuwa anasagana na KE wenzake au self PLEASURE.So cha muhimu ni kujua Kama unaweza kupata aliye BORA zaidi yake ama LA.

Maana Unapotafuta BIKRA wakati wewe ni Mzoefu hayo ndio unayokutana nayo.All in All Kama unaweza sogeza muda kidogo ila Mpate muda wa Kuweka Chemistry yenu SAWA basi Take time and see her as a woman,a mother and a friend.Mkiweza kujenga Hayo Ndio ya Msingi.Great SEX Utaipata POPOTE ila RESPECT,LOVE and FRIENDSHIP Haipatikani KIrahisi na ndicho TUNACHOHITAJI KWENYE NDOA.
 
Ni kweli huyo demu alikuwa anapiga puchu, wanaume wamle kwa kumsugua kisimi na bikra wanaiona, thubutu, wangemtoa hiyo bikra yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…