singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 1,974
- 10,361
sahihi kabisa hapo mwishoni(musterbate)Ndugu yangu ungemuacha tu na bikra yake manake from the beginning ulishajua she is not ur type, ila tatizo la wanaume hata akiona humfai atataka akulale kwanza ndo afanye maamuzi, umemkosea sana sana. But usijilazimishe kumuoa kisa umemtoa bikra it will get worse humo ndoani mana mwanaume hukaa na kutulia alipopenda sio alipopendwa na mkipenda mmependa na msipopenda hamjapenda sio kama sisi wanawake, ukijilazimisha huyo dada hakuna rangi ataacha ona humo ndani. Na kingine sio kama hizo relationship ndo zimemfanya awe hivyo, hicho anachopitia ni athari ya mustabation hajataka tu kukwambia ukweli, it seems ana fanya mustabation kiasi kwamba amepoteza hisia na mwanaume.