Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Uzi ufungwe.Unaoa kwa lengo lipi Ili tukushauri la ngono,mlinzi wa nyumba, business partner,mpishi,mlezi wa watoto,heshima,sifa nk.
Kila mwanamke qnafiti eneo maalumu.
Mfano anaweza kuwa mzuri sana kwenye ngono lakini heshima na adabu hana,mpishi mzuri lakini mtapanyi WA Mali,mlinzi wa nyumba lakini si mkarimu
Huyu mpuuzi anataka mwanamke awe na kila kitu.