Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

🤣🤣🤣 hata mimi nimepigwa na butwaa.

Nilikuwa nasoma comment while nikiwa kwa bed ikabidi niinuke kwanza nithibitishe kama kweli ni Lamomy 🤣🤣🤣
Kuna mtu kaniambia eti, umerudisha hiyo avatar tutarajie michachuko 🤣🤣🤣
 
Kuna mtu kaniambia eti, umerudisha hiyo avatar tutarajie michachuko 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila kiukweli huboi. Nikiona comment yako kama nilikuwa na stress zote zinaisha
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 damn!
Nitatapika nilichokula jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Unakulaje maharage bwana,pika njegere🥲🤣🤣
 
Ewaaaaah,,,Bora huyo anataka kusuguliwa na mkono,,atakutana na mikulumbembe inataka alimumuse tu usiku mzima kama pipi🤣🤣🤣🤣
Yana sugu kali yashapigwa mishale mingi 🤣🤣🤣
 
Unakulaje maharage bwana,pika njegere🥲🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 no sijala maharage, siyapendi hata kidogo.

Ila nimeshiba hapa. Maxence Melo aweke sehemu ya kutuma voice jamani, vicheko vitumwe hapa hapa maana unaweza kujikuta unacheka kwa sauti mbele ya umati wa watu kwa hizi comment za Jf🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom