Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Uzi ufungwe.

Huyu mpuuzi anataka mwanamke awe na kila kitu.
 
Mimi Kwa akili zangu timamu nashauri Bwaga....kuishi na Mtu huna hisia nae ni zaidi ya jela,sawa umemmtoa bikra,so what?98percent watu wameolewa bila bikra....Shit happens
 
Naww umeamin kabisa kwamba hao waliokutangulia hawajaingiza dushee!! Shame
 
We nae punguza makali ya maneno si useme ki beans au beanslet🤣🤣🤣?aaah Missy Gf mchukue shoga yako
🤣🤣🤣🤣 Sis haya napunguza.!!
Huyo jamaa anazingua ujue, hataki kumpa mwenzie burudani..!! Ss kitu kidogo km iko anakuja kusema huku, akiambiwa aingie uvinza si ndo atatuletea malalamiko mazito zaidi.?
 
🤣🤣🤣🤣 Sis haya napunguza.!!
Huyo jamaa anazingua ujue, hataki kumpa mwenzie burudani..!! Ss kitu kidogo km iko anakuja kusema huku, akiambiwa aingie uvinza si ndo atatuletea malalamiko mazito zaidi.?
Hajui kabisa umuhimu wa kibeans eti anachoka,basi atafute aliyekeketwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…