Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi

Nasikitikaga sana kila nikiona Mwafrika anajaribu kuunganisha rangi yake na jamii zilizoendelea
Kuna mtu nilikutana nae akaniambia kina Isaac Newton walikuwa waafrika ila mzungu hataki tujue Hilo 😂
 
Nasikia hata waarabu ambao kabila kubwa lilokuwa na asili kabisa ni weusi.
Na wachina nao walikuwa weusi na wajapan na wakorea na wahindi yaani kila race hawa pan africanist uchwara wanasema walikuwa weusi ila jambo la kushangaza watu weusi ndio wajinga wajinga walio kubuhu.
 
Hizi Ni dalili za awali za mtu wa dini kuwa mpagani/atheist.

Kinachonishanganya zaidi Ni pale mtu anaposhindwa kuiamini biblia yake na kutoka kwenye data tofauti then baadae anaitumia Tena biblia hiyo hiyo kuwa uthibitisho wa uongo wake.
Mtu ukishafikia hatua hii hata kama nilikuwa nakuheshimu kwa hoja zako nakuvua vyeo vyote.
 
So what? Kama walikua weusi ili tupate nini leo? Tujilinganishe nao? Au tufanyeje baada ya kujinasibisha? Itafuta akili zetu za kupenda ngono? Au tutakua karibu sana na mungu? Ok sawa kama tuna ukoo na yesu tufanyaje sasa?
naona umechafukwa
 
Kwa hiyo kwa wewe kuwa mweusiyou are ridiculed
Soma vizuri Biblia you will realize this truth.Let me say this truth bila kupepesa,macho.Binadamu yeyote asiye na "melanin'' sio binadamu original.Ni mwafriia tu aliye binadamu original,wengine wote wametona na Mwafrika.Infact Mzungu ni zeruzeru.
Dokta ukikumbuka Kauli ya Macron kwa wayahudi baada ya kumtibua .....utagundua watu mazombi hata waoneshwe kipi hawataona.
Unajua,uongo ukirudiwa mara kwa mara una-kuwa perceived as truth na Shetani analijua hili.Ndio maana hata tunakuwa na matangazo ya biashara ya kujirudia,they are playing with our minds.Wamerudia rudia uongo kuwa Jesus was black na sisi tumeamini,very sad.
 
Ni jamii ya watu wote na sio weupe pekee kama tunavyoaminishwa hivi leo!!
Mfalme Suleiman anaandika kwenye Wimbo uliobora!

"Mimi ni mweusi mweusi lakini ni mzuri enyi mabinti wa misri"

Nae Ayubu anapigilia msumari Kwa kuandika

"Ngozi yangu ni nyeusi nayo yanitoka" Hapo ni kipindi anaumwa sana Hadi ngozi ikaanza kubabuka kama ukoma hivi yaani akawa na madoa mekundu mekundu!!

Webrania wanafanana na wamisri wa kale ambao ni weusi kwa Rangi!

Nachelea pia Kwa kusema kwamba waebrania no Wana was Hamu na neno hamu kiibrania maana yake ni "iliyoungua"yaani nyeusi baada ya kuungua!!

Jamii ya waisrael waebrania wengi wao walikua weusi!!

Nimeandika!
 
Naomba niambie hapo nimetoka nje wapi kwenye Biblia unayoijua wewe,ili na mimi nijifunze.Kwa mfano nionyeshe wapi Biblia inasema Jesus was white na mimi ntakuonyesha wapi Biblia inasema Jesus was black
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…