Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi

Hakuna mtu mbaya kama mwarabu na kama hujui alichowafanyia waafrika wakati wa biashara yao haramu ya utumwa afadhali unyamaze tu.

Wewe unamsujudia kisa alikudanganya ufuate utamaduni wake na kukudanganya kwamba ndio dini na wewe kwa akili ndogo ukakubali kuingizwa chaka. Bure kabisa.
 
Usiniwekee maneno mdomoni,sijasema sijawahi kutembelea Israel.Infact nimeshatembelea probaly many times than you if you have.,Ila the people are so evil, that I would not like to go there again ever.Yes, the sights are there,but to a spiritual person,there is nothing spiritual about them After all God is omnipresent,so you do not have to go to Israel.Infact because of the internet,one can carryout research by visiting worldwide archives without even visiting any sight.
 
Huhitaji kuongea kiingereza kiingi chief. Nachosema fanya Tahiti upya. Mi mwanzon nilikuwa kama wewe lakin unachotakiwa kujua dunian kote kuna watu ni mashetan. So hakuna kipya walichonacho wayahud zaid ya binadam wengine. Ila hilo haliondoi ukweli kuwa pale wapo jews original na fake na around majiran wapo jews wa kutosha.
 
Kwenye kitabu cha mathayo sura ya Kwanza Ayubu hayupo kwenye ukoo wa Yesu,

Mfalme Selemani, anasema ni mweusi mweusi maana jua limemuunguza kwa hiyo weusi haikuwa rangi yake ya asili aliyozaliwa nayo ila ilikuwa nyeusi kwa kuwa aliunguzwa na na jua na biblia imesema hilo wazi.

Kwa hiyo hiki ulichoandika ni hekaya tu na upotoshaji.
Shida yako wewe unachuki na Israel kwa hiyo upo tayari kutunga uwongo ilimradi tu nafsi yako ifurahi.
 
Ulishawah kusoma vitabu vya asyrians? Mi maisha yangu mengi yapo Middle east so ukiacha tu ndani ya Israel unaweza kuipata historia ya jews nje ya Israel hasa nchi zilizowazunguka kuliko ndani. Kuwa waovu au vingninevyo haiondoi ukweli kuwa hao ni waisrael na hata wakiwa watakatifu hawakufanyi wewe kuwa mtakatifu. Mbinguni utafika kwa jitihada zako mwenyewe na Mungu wako sio kwa yale yaliyopo nje yako.
 
Naongezea;
Ukienda Ngorongoro wanasema Dr.Lous Leakey na Merry leakey 1959 (Wazungu)Wakigundua Kuwa Mwanadamu wa Kwanza Aliishi Olduvai gorge Arusha.

Tangu Mwaka 1959 Hadi leo hajatokea Mtu yeyote kupinga Chapisho hilo!
Pia Inasemekana Ehud Barak alikuja Arusha Kutalii,Alipikuwa anahojiws akasema amekuja Kuona Sehemu Takatifu ambayo binafamubwa Kwamza Aliishi!
Nyie Watanzania Mnakuja Kwetu Israel kuhuji,Sisi tunakuja hapa Kuona binafamubwa Kwanza alipoishi.
na Inasemekana Huko Okduvau gorge Ukiingia ndani Kule chini Kuna Wingu/Mbingu yake, ni kama dunia Nyingine,

Pia **** Sehemu moja tuu ya Kuingilia na Kutokea
kwa Kweli ni mambo Mengi ya Kujifunza huko!’sasa aje Mtu apinge kwa hoja na refferences kuwa Binadsmubwa Kwanza hakuishi Hapa Tanzania(Olduvai gorge)
 
Wakiwa weusi ili itusaidie nini? Sasa hao waebrania weusi wako wapi leo? Kwa hiyo mashariki ya kati yote ni Israel tu ndio walikuwa weusi? Vipindi Syria, Iraq, Saudi Arabia, Yemen, Oman, Iran, Jordan na Lebanon wao walikuwa rangi gani?
 
Jua likimuunguza Mzungu hawi mweusi mkuu,he becomes red,nimekaa nao.By the way,nashangaa mtu anayeng'ang'ania kuwa Hebrews are white.Wazungu wenyewe wanakubali kuwa Hebrews are black,sasa ninyi weusi mnang'ang'ania nini kuwa Hebrews are white?Ni ajabu sana.
 
Wamasai wapo katika yale makabila 12 .

Ni waisraeli kabisa.
 
Hizi ni hekaya hebu acha uwongo wewe mwenyewe Selemani anasema ni mweusi maana kaunguzwa na jua halafu unaipachikia biblia maneno yako kuwa alikuwa mweusi kwa maana ya uafrika?
Yaani unataka tukuamini wewe badala ya biblia eti kwa kuwa umekaa na wazungu?

mara ohh kwa kuwa ayubu alikuwa mweusi basi Yesu naye alikuwa mweusi ilihali ya kuwa Ayubu hayupo kwenye ukoo wa Yesu ambao Mathayo sura ya kwanza wametrace back kabla ya hata Ayubu hajulikani kama atakuwepo.

Inapokuja suala la Israel wewe ni mtoshaji mkubwa sana.
 
Nipe Ushaidi Mwarabu alichukua Babu yako kumpeleka wapi au Toa maelezo ya kueleweka !!!

Tuanze apo Biashara ya Utumwa ilikuwa ni Propaganda ili watu Wawachukie Waraabu sasa niambie Mwarabu alimchukua Babu yako kumpeleka Wapi
BIASHARA ya Watumwa Ilifanywa na Wazungu kwa maitaji ya Nguvu kazi katika Mashamba yao Pembe mbalimbali ya Dunia ndio Mana Leo Walipo Watumwa Weusi kuna WAZUNGU

Hoja ya kuwa Mwarabu ndio kakukamata kwasasa aina nguvu Akukamate ili akupeleke wapi kweni Wazungu Awajatalwala Tangamyika !!??? Wenye ayo Mashamba makubwa Duniani sio Awa Waliotutawala apa Tangamyika!!!??

Mwarabu na mashamba Wapi na wapi
Sasa mtu Mweusi wanini eti utasikia tena Mwarabu ndio Afai kabisa kwa Ushaidi upi Babu Zako Wako America!!??
uko sio Urabani sasa uyu ndio Afai kivupi

Acha Propaganda toa maelezo yenye kueleweka!!! Kidhibiti cha Babu yako anacho mungu wako wa Kizungu !!?

na ndio miaka frani alipiga Marufuku Biashara ya Utumwa kuna nchi gani nyengine imepiga Marufuku iyo Biashara zaid ya WAZUNGU!!????!!?

Mzungu uyouyo Marekani wkt Wa maandamano ya kupinga Ubaguzi wa langi Weusi wenzetu Waliyabomoa Masanamu ya WAZUNGU ambaa ndio Wallkuwa Wafanya Biashara kubwa ya Utumwa Duniani !!??

marekani na Uingeleza kote uko Masanamu yalibomolewa ya magwiji wa Utumwa !!! ??

kama mwingeleza kututawala vipi Asubili mtumwa kutoka kwa Mwarabu!!??

nawewe Nitafutie Sanam la mwarabu alimuuza Babu yako popote lilipo!!!!??

historia hii ya kumuweka Mwarabu ililenga Dini lkn Muislam wa Pwani yote alishagundua ndio mana Bado Uislam umeshamili pwani yote. !!!!

Tofauti na Waliotunga Uwongo!!!!i Dini ipo kwenye nyoyo ya Mtu Nafasi Uwongo ilibuniwa na Wachovu matokea yake yamekuwa ni ( O )

Ubaguzi wa langi ndio Chimbuko la Utumwa Hii leo kila kitu kinafunguka uko marekani miaka ya Juzi tu ilikuwa kwenye Usafiri wa Public mfano kwenye mwendo kasi

Babu zetu Weusu ilikuwa Akikaa kwenye Siti ya gari mzee kikija kitoto cha Kizungu Babu yetu Nweusi inabidi Ampishe dogo Akae yeye!! !!??

MAREKANI Weusi wenzetu Bado wapo kwenye mateso tuje uku Afrika kusini tuliona Wazungu walichowafanyia ndugu zetu na Ubaguzi wa langi !!!!!

wewe mwenye chuki na Mwarabu na Uislamu lete Ushaidi wako au maelezo yakufanana na Ukweli ulio leo mbele ya macho yetu.. Acha Propaganda za kitoto Uwongo usio na mashiko !!!!


nakuu zangu Babu yko yupo marekani kwa MZUNGU mwarabu kausikaje.?????

Usikimbie hoja embu wajibu wana Jamii Forums na akika Wanajiuliza aya maswali pwani yetu ni mnadai kwenye history mwarabu ndio Kauza Babu zetu kwa Mzungu!!!!!

Swali Je wa Oman walitawala Afrika nzima!!?? Kama apana tujibu wale watumwa kutoka Afrika Magharibi walifikaje Marekani napo OMAN iliwauza kule!!!?.?

Wafanya Propaganda kumuusu Mwarabu kazi mnayo msikimbie hoja tu..?? .
 
Hawa waebrania ndo Mwamedi anasema walikuwa waislamu?
 
Umefika Mali?
 
Shida yenu ni kwamba ile kasumba ya utumwa bado ipo nanyi ya kujiona kwamba bado nyie ni wapagazi wa mabwana wenu wa kiarabu na hii kasumba inaonekana kamwe haiwezi kwisha.

Mnawaona waarabu kama miungu watu waliowaletea hiyo mnayoita dini wakati ni utamaduni wao tu wanaueneza kwa kisingizio feki cha dini.

Unajifanya kutokujua kwamba watumwa wanaume wote walihasiwa na mabwana zao wa kiarabu kabla ya kupandishwa kwenye mangalawa kusafirishwa kupelekwa utumwani uarabuni na mataifa mengine ya Asia wakitokea Bagamoyo na Zanzibar.

Kwa mantiki hiyo ndio maana leo hii huwezi kupata uzao wa hao watumwa huko kwa sababu ya kuhasiwa kwao kabla ya kusafirishwa lakini bado leo watu mko tayari kuwatetea hao waarabu kisa tu eti walikuletea dini utafikiri wenyewe ndio waliowaletea Mungu huku. Bure kabisa you niggers.

 
Sasa hao Hebrews rangi yao hata kama ilikuwa ni zambarau au nyeusi hilo linatuhusu nini sisi leo na wako wapi sasa. This is nonsense.
 
Endelea kutoa hoja kwa maana Mimi pia Kila nikisoma biblia naona Kila dalili ya kwamba watu wengi ambao wamezungumziwa mle ni watu weusi na wale wenye rangi nyekundu ambao walizaliwa hivyo walitajwa kabisa ya kwamba walikua wekundu...
Sasa kama walikuwa ni weusi ndio nini sasa nini msingi wa hoja yako.
 
Ndiyo maana Yusufu na Maria walikimbilia Misri wakati wa tishio la Herode

Ila hawa watu weupe ni hatari sana, hata hivi sasa wanatupunguza weusi
Wanawapunguzaje unaweza kufafanua.?
 
Wanawapunguzaje unaweza kufafanua.?
Tafuta thread moja humu inasema "...black people are targeted" kuna mzungu mmoja alifichua siri ya mipango ya kupoteza kabisa rangi nyeusi duniani
 
Ndiyo maana Yusufu na Maria walikimbilia Misri wakati wa tishio la Herode

Ila hawa watu weupe ni hatari sana, hata hivi sasa wanatupunguza weusi
Ujinga mtupu umekujaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…