Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Unadeka sana mdogo wanguMkuu Kipanga hii Lugha yako INA ukakasi na ni ya kibaguzi. Moderator naomba mwongozo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadeka sana mdogo wanguMkuu Kipanga hii Lugha yako INA ukakasi na ni ya kibaguzi. Moderator naomba mwongozo wako
Ni sahihi....hakuna mtu sierious anaweza kufanya uwekezaji sehemu ambayo haiwezi kumlipa. Mpira wa sasa ni Biashara, Kwa mazingira ya Zanzibar yalivyo ni ngumu kulipa kibiashara
Kipaji BILA nguvu Ni kazi bure. Nani atakuhitaji.Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.
Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana.
Akina Yanga na Simba huko Bara ni kubebwa tu ndio washinde. sasa Waamuzi wa Kombe la mapinduzi wamekataa huo upuuzi.
Hongera Sana watu wa Zanzibar.
Mkuu samahani kama nimekukera.Huna akili timamu? Mbona unajichanganya,Kwanza Zanzibar ni Nchi ndogo yenye hadhi ya Mkoa 😂😂😂 ,kuna Nchi yenye hadhi ya Mkoa?.
Kama kitu kidogo hichi unashindwa
kuelewa ndio akili ya maendeleo itatoka wapi?
Kwanza Bara inawachelewesha Sana Wazanzibar,imagine akili kama zako afu unawazaukabila.
Ukubwa wa maeneo ndio ukubwa wa kiserikali?Mkuu samahani kama nimekukera.
Hadhi niliyokusudia ni ile ya ukubwa na sio vinginevyo.
Kiukweli ukichukua mkoa kama lindi ukilinganisha na zanzibar basi zanzibar bado ni kasehemu kadogo sana ukilinganisha na mkoa wa lindi
Hivyo zanzibar na lindi kihadhi ya ukubwa bado lindi ina hadhi kubwa sana.
Hivyo nchi ya zanzibar ina hadhi ya chini sana kwa ukubwa kuliko mkoa wa lindi.
Lakini pia hata kwa uwingi wa watu,mkoa wa dar una watu wengi sana kuliko zanzibar hivyo kihadhi ya idadi ya watu bado zanzibar ina watu wachache mno kulinganisha na dar,hivyo nchi ya zanzibar ina hadhi ya chini kwa idadi ya watu kuliko mkoa wa dar.
Kwa hivyo sijaona kwa nini unune ndugu yangu
Una shida sio bureKipaji BILA nguvu Ni kazi bure. Nani atakuhitaji.
Tz Kuna vipaji vingi lkn kwenye nguvu tumefeli. Na itatugharimu sana.
Wapi nimegusia ukubwa wa kiserikali mimi shekhe ?Ukubwa wa maeneo ndio ukubwa wa kiserikali?
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.
Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana.
Akina Yanga na Simba huko Bara ni kubebwa tu ndio washinde. sasa Waamuzi wa Kombe la mapinduzi wamekataa huo upuuzi.
Hongera Sana watu wa Zanzibar.
Wapi nimegusia ukubwa wa kiserikali mimi shekhe ?Ukubwa wa maeneo ndio ukubwa wa kiserikali?
Sasa utataka usawa na uwiano wa mgawanyo bila kifahamu ukubwa huu?Wapi nimegusia ukubwa wa kiserikali mimi shekhe ?
Huo ukubwa haunihusu,ambao unanihusu nimeshataja ni ukub2a wa wneo na uwingi wa watu..Sasa utataka usawa na uwiano wa mgawanyo bila kifahamu ukubwa huu?
Huo ukubwa haunihusu,ambao unanihusu nimeshataja ni ukub2a wa wneo na uwingi wa watu..Sasa utataka usawa na uwiano wa mgawanyo bila kifahamu ukubwa huu?
Ni sahihi....
Pia unaweza ukanisaidia, why team hata moja haijafuzu Nusu, wakati wanavipaji lukuki.