Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Kweli mkuu. Yale maeneo yamekaa kushoto sana asee.

Ukiacha suala la makazi pia lifestyle ya wengi maeneo hayo ni za kiswahili
Imagine mtu anauza nyumba kigogo afu anakwenda kununua maeneo hayo. Hapo si itakuwa ni sawa na mtu anaeruka mkojo na kwenda kukanyaga kinyesi.
 
Sijui ni kwa nini sijawahi kuvutiwa kuishi maeneo ya Kusini ya jiji la Dar kama huko Mtoni, Mbagala, Chanika, Tabata, Lumo, Mtoni, Temeke, G/Mboto n.k
huko kuna kit luxury kuliko unapopapenda, ardhi ya usikokupenda chini ukichimba kisima, kuna maji safii. Waliokuwa na mashamba kuelekea Mkuranga wanafaidi. Ukichimba. Je huko ukupendako swala la maji si mpaka ukapige Magoti Dawasso! Na mvua iwepo!1
 
huko kuna kit luxury kuliko uapopapnda, sailings kinda chini Luna Mani sari. Waliokuwa MA mashamba kuelekea Mkuranga wanafaidi. Ukichimba Kiana no Mani safi, Maui no Issi. Je huko ukupendapo swala la maji so moans ukapige Makoti Dawasso!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huko ni uswahilini, hauwezi kuta mtu mwenye heshima zake anapigania kwenda kuishi kweny maeneo hayo.
Umewahi kufika Kijichi kule? Mimi sizungumzii maeneo ya Mbagala na hayo mengine. Kijichi ni ultra low density area (kiwanja 3000 sq meters) na lami za DMDP zimepita kila kona
 
Jamaa kamaliza kila kitu salasala nmetoka jana tu mm sijaona kipya ambacho mivumoni na madale hakipo eg mivumoni pita bravery hill street, hope kwa zulu sasaa plus huku uswahili upo kidogo sio km salasala
 
Nasikitika kuona hawajaitaja Mbweni

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Umewahi kufika Kijichi kule? Mimi sizungumzii maeneo ya Mbagala na hayo mengine. Kijichi ni ultra low density area (kiwanja 3000 sq meters) na lami za DMDP zimepita kila kona
Ya maeneo hayo kwa namna fulan yapo vizuri, sina ubishi kwa hilo mkuu.
Sema hali ya hewa ni lile joto la size ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…