Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Kweli mkuu. Yale maeneo yamekaa kushoto sana asee.

Ukiacha suala la makazi pia lifestyle ya wengi maeneo hayo ni za kiswahili
Imagine mtu anauza nyumba kigogo afu anakwenda kununua maeneo hayo. Hapo si itakuwa ni sawa na mtu anaeruka mkojo na kwenda kukanyaga kinyesi.
 
Sijui ni kwa nini sijawahi kuvutiwa kuishi maeneo ya Kusini ya jiji la Dar kama huko Mtoni, Mbagala, Chanika, Tabata, Lumo, Mtoni, Temeke, G/Mboto n.k
huko kuna kit luxury kuliko unapopapenda, ardhi ya usikokupenda chini ukichimba kisima, kuna maji safii. Waliokuwa na mashamba kuelekea Mkuranga wanafaidi. Ukichimba. Je huko ukupendako swala la maji si mpaka ukapige Magoti Dawasso! Na mvua iwepo!1
 
huko kuna kit luxury kuliko uapopapnda, sailings kinda chini Luna Mani sari. Waliokuwa MA mashamba kuelekea Mkuranga wanafaidi. Ukichimba Kiana no Mani safi, Maui no Issi. Je huko ukupendapo swala la maji so moans ukapige Makoti Dawasso!
😂😂😂
 
Huko ni uswahilini, hauwezi kuta mtu mwenye heshima zake anapigania kwenda kuishi kweny maeneo hayo.
Umewahi kufika Kijichi kule? Mimi sizungumzii maeneo ya Mbagala na hayo mengine. Kijichi ni ultra low density area (kiwanja 3000 sq meters) na lami za DMDP zimepita kila kona
 
Salasala hasa Kilima hewa kuko vizuri mijengo ya maana. Mfano mitaa ya Kwa Aziz road, mtaa wa magorofani, Seronga street kumetulia sana.

Tatizo la Salasala kuna baadhi ya maeneo ni uswahilini. Unakuta baadhi ya maeneo nyumba ni kali halafu ghafla unakuta kauswahili kanaanza

Madale kwenye zile Estates kule ni balaa watu wamejenga asee. Patendeza zaidi zile barabara zikipigwa rami.

Mivumoni kupo poa pia kuna maeneo kuna baadhi ya mitaa ya ushuani kama kule panaitwa kwa Makamba sio poa. Ila maeneo mingine mchanganyiko. Ila hali ya hewa ni nzuri.
Jamaa kamaliza kila kitu salasala nmetoka jana tu mm sijaona kipya ambacho mivumoni na madale hakipo eg mivumoni pita bravery hill street, hope kwa zulu sasaa plus huku uswahili upo kidogo sio km salasala
 
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.

Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba katika kata zote za Wazo Salasala ndio mtaa unaoongoza kwa kuwa na watu wenye hadhi au waliowahi kuwa na hadi serikalini, pia wakadai kwamba Salasala ndio inayoongoza kuwa na majumba makubwa, mazuri na ya kisasa, pia inaongoza kwa hali ya hewa nzuri na maeneo bomba ya kutulia na kupanga mikakati ya kimaisha, pia eti Salasala imechangamka hata kibiashara ukilinganisha na maeneo mengine nk.

Ghafla wakadakia wengine ambao walidai kwamba Mivumoni ndio kwenye hizo sifa zilizotajwa hapo juu,
huku mungine akisema kuwa Madale ndio moto wa kuotea mbali,
mara wengine waseme Kisanga, mara wengine eti Kilima hewa, wengine Kilima hewa juu, wengine wazo kwenyewe.

Sasa wakuu kwa wale wenyeji na wazoefu wa maeneo hayo naomba mnipe majibu ili nikirudi tena kule nikikutana na ubishi wa aina hiyo nimalize ubishi kwa kutumia fact nitazopata humu.

Kati ya maeneo hayo tajwa ni wapi pa kishua na palipochangamka zaidi kibiashara na kimaendeleo.
Karibuni tuchangie kistaarabu wakuu.
Nasikitika kuona hawajaitaja Mbweni

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Umewahi kufika Kijichi kule? Mimi sizungumzii maeneo ya Mbagala na hayo mengine. Kijichi ni ultra low density area (kiwanja 3000 sq meters) na lami za DMDP zimepita kila kona
Ya maeneo hayo kwa namna fulan yapo vizuri, sina ubishi kwa hilo mkuu.
Sema hali ya hewa ni lile joto la size ya kati.
 
Back
Top Bottom