Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ndio maana Nyerere alikuwa busy kutumia hela za Watanganyika kuwekeza kwenye siasa za nje ya Tanganyika na kuiacha Tanganyika nchi maskini wa kutupwa.
 
Kumbe baba le mutuz si raia wa tz!,tunaomba mwanae le mutuzi aje ajibu mapigo
 
Ndio maana Nyerere alikuwa busy kutumia hela za Watanganyika kuwekeza kwenye siasa za nje ya Tanganyika na kuiacha Tanganyika nchi maskini wa kutupwa.

Na Kambona naye sio mnyasa? Obama sio jaruo?
Waafrika tuna matatizo sana
 
Kambona gani? Huyu huyu ambae aliingia bongo na mbwebwe za kutaka mabilioni yaliyofichwa na Hayati Mwalimu Nyerere, au?! Kama yeye alianza na siasa za maji taka kabla hata TZ yenyewe hajakanyaga; alitaraji nini kutoka kwa wenzake?!
 
Nyerere anamiminiwa kila aina za sifa anaenziwa kama vile hana kosa lakini ukweli Nyerere hana tafauti na mwanasiasa mwengine yoyote amefanya maovu mengi kwa kulinda wadhifa wake
RIP Kombona
 
Siyo unasikia kitu kimoja tu unaconclude mkubwa. Vile vile tafuta upande wa pili. Kwa nini huyu jamaa alikimbilia Uingereza na wala siyo China?

Na kwa nini Watanganyika walipochoka sera za ubabaishaji na ukandamizaji za Nyerere serikali yake ilipata msaada wa makomandoo wa kijeshi kutoka Uingereza kuulinda utawala dhalimu wa Nyerere?
 
Okey ..na wale watoto wengine wa kiume wawili?..ni kama hawapo. Nadhani neema ndie mtoyto pekee wa mzee kambona ambaye anayejua ukweli wa mambo maana hata katika maandiko mengi inaonesha Baba yake alikuwa akiandikiana mashairi na mwanaye huyo.. Wakati Kambona anarudi Dar toka uingereza aliambatana na Neema..nimesoma cover story yake jarida la femina(2004).. Kuna sehemu anasema "niliogopa sana sikujua nini kingetukuta, nilijiandaa kwa chochote. Nilimshikilia mkono baba na nikaapa sitamwacha. Kama wangempeleka jela ningekwenda pia"

Inauma sana. Siwezi kusoma maneno yako bila machozi kunidondoka. Halafu katili huyu wanataka kumsimika kama Mwenyeheri!!!!!! Kweli dunia tambala bovu. Atakuwa Mwenyeheri aliyelaaniwa.
 
Fasali Kambona yeye mewesa kukimbia, Sujaa Moringe Sokoine yeye imesokoinewa mapema.

Kuua mtu bila sababu ya msingi ni dhambi kubwa sana. Nyerere alikuwa hataki nyota ya mtu mwingine iwake kuliko yake hapa Tanzania. Wengi wameuawa na Nyerere hata kama walikuwa waaminifu kwake kwa ajili tu ya yeye kuwa kutaka kuthaminiwa zaidi ya wengine. Bila shaka adhabu ya watu kama hawa Mungu huwa anaanza kuwapa hapa hapa duniani. Kifo chake kilichosabishwa na ukosefu wa kinga mwilini kilikuwa ni mateso tosha ya hapa duniani kwani alikufa poleple na kupata machungu makuu akiwa hai mpaka kufikia kufungiwa mpira wa gesi kujaribu kumshikilia roho yake lakini Mungu akasema utaanza kulipia madhambi yako hapa hapa duniani.

Ndio maana wengine hatutaki kumwita Baba wa Taifa kwa sababu huwezi kuwa na Baba anayewaua watoto wake kwa wivu tu!!!!!!!!!!!!!
 
Hili la kumpa utakatifu ni kampeni za Mseveni! Sijui anataka kumshukuru Nyerere kwa kumuwezesha kuwa Rais, hata sielewi. Lakini kama kuna watu wanatakiwa kupata utakatifu ndani ya kanisa katoliki, kutokea hapa Tanzania, basi Nyerere atakuwa wa mwisho kupata huo utakatifu. He totally doesn't deserve it. Tunashukuru tu kwamba kanisa Katoliki lipo stable, haliyumbishwi na siasa. Tunaamini halitajipaka matope kwa kumpa utakatifu mtu asiyestahili.

Hayati Kambona alishaeleza kwamba Nyerere ni Mtutsi. Nyerere alitumia hela nyingi sana za Tanzania pamoja na kuua Wanajeshi wengi wa Kitanzania aliowapeleka kusaidia kusimika utawala wa Kitutsi kuanzia kwa Mseveni, kwenda kwa Kagame na kwa Kabila. Alishaanza mpango wa kuwajaza Watutsi hapa Tanzania ili wachukue dola lakini Mungu aliamua kumchukua kabla mipango yake haijakamilika. Ndio maana anapata heshima sana kwenye nchi hizi kuliko anavyoheshimika hapa Tanzania.
 
Kifo cha sokoine nyerere alihusika asilimia 100 . Huyu mzee hakutaka mtu wa kutofautiana naye chochote . Alikuwa dikteta mmbaya sana.
 
Back
Top Bottom