Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kabati ya udini utalifunga lini Maggid....
Hujui lolote kuhusu Kambona kwa nini ukae upande mmoja badala ya kubalance makala yako, Halafu kuna kitu cheap sana unakifanya hapa, kukusanya maoni ya watu humu jamvini ili umalizie makala yako na kuonekana muandika historia.
Namwelewa vizuri sana Mzee Kambona RIP lakini sitakujuza chochote.
ulikuwa unamezeshwa sumu..........samaki mkunje angali mbichiHata mimi nakumbuka shule ya msingi tulikuwa tunaimba wimbo wa kumlaani Kambona kama muasi.
Nakumbuka tulikuwa tunaimba
Kambona mhaini huyoooo x 2
sasa yupo wapi (mwimbishaji)
Yupo Uingereza (waitikiaji).
Yaani Kambona alikuwa anaonekana ni jamaa wa hovyo vibaya sana. Those days nilikuwa naimba tu hata sielewi kwanini natakiwa kuimba hivyo. Sasa ndiyo tunatambua who was Kambona. Nyerere alikuwa na itikadi za kijinga sana ukijaribu kuchunguza. Katika suala la kutumia mabavu zaidi kuliko akili, katu sitamuunga mkono Nyerere.
Si unajua tena enzi za zidumu fikra za mwenyekiti hata kama ni mbovu?ulikuwa unamezeshwa sumu..........samaki mkunje angali mbichi
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli
My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea
wewe unae ijua vizuri Mbona unawashwa na ZZK kuondolewa Chadema sasa!We hata historia hujui vizuri,
We hata historia hujui vizuri,
wewe unae ijua vizuri Mbona unawashwa na ZZK kuondolewa Chadema sasa!
na wewe fungua thread yako weka hiyo historia unayoijua vizuri
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli
My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea
LENGO langu si kubishana na wavuta bhangi ila ni kuweka ulinganifu kwa ZITTO KABWE na OSCA KAMBONA ambao wote ni wasaliti na kupokwa madaraka yao ndani ya vyama vyao ni hivi wana CCM wanailaumu kamati kuu ya cdm kwa hatua hii na wanasahau kuwa nao walikwisha fanya hivyo siku za nyuma kwa OSCA KAMBONA ambaye alikuwa maarufu na muhimu kwenye chama choa kipindi hicho pengine zaidi ya ZITTO leoWe kweli akili zako fupi, wapi niliposema kuhusu zitto kabwe mie?!! Huo upuuzi wenu wa siasa nawachie wenyewe havinisaidii mie, nachosema hujui historia kwa sababu kambona si katibu mkuu wa kwanza wa tanu na wala hakuwepo kwy historia ya mapambano ya uhuru sasa ukisahihishwa uwe unakubali,
LENGO langu si kubishana na wavuta bhangi ila ni kuweka ulinganifu kwa ZITTO KABWE na OSCA KAMBONA ambao wote ni wasaliti na kupokwa madaraka yao ndani ya vyama vyao ni hivi wana CCM wanailaumu kamati kuu ya cdm kwa hatua hii na wanasahau kuwa nao walikwisha fanya hivyo siku za nyuma kwa OSCA KAMBONA ambaye alikuwa maarufu na muhimu kwenye chama choa kipindi hicho pengine zaidi ya ZITTO leo

ni rahisi sana , baada ya kufukuzwa uanachama alihamia TADEA ambacho ni chama chama cha Siasa alishindwa nini kugombea u-Rais akiwa huko! ikumbukwe kuwa hakuna atakae vumiliwa kwa usaliti , kipindi hicho KAMBONA alisemekana ndiye Rais atakaye fuata baada ya NYERERE lakini usaliti ulimponza ange vumilia ange subiri wakati wake ungefikanyang'au sana wewe kijana
soma hapa
Oscar Kambona - Wikipedia, the free encyclopedia
is a president Tanzania never had
uhuni wa nyerere na mtoto wake mbowe ni huo huo tu, like father like son
hawataki kuwa challenged
au haujui Mbowe mtoto wa Nyerere???
Huna hoja
My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea