nyang'au sana wewe kijana
soma hapa
Oscar Kambona - Wikipedia, the free encyclopedia
is a president Tanzania never had
haujui Mbowe mtoto wa Nyerere???
hii k2!,
lakini, nadhani Maria Nyerere, hana ID JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyang'au sana wewe kijana
soma hapa
Oscar Kambona - Wikipedia, the free encyclopedia
is a president Tanzania never had
haujui Mbowe mtoto wa Nyerere???
msaidieni Zitto.
chadema sio chama, ni saccos
Watu wa humu jf mmeshikwa akili sana siasa!!!
heri kushikiwa akili na CHADEMA kuliko kushikiwa akili na CCM
Ningekuona unaakili kuliko mimi kama ungemkumbusha baba yako kuwa inchi inamshinda watu ni maskini kwelikweli hawana hali na roho zao zinachomwa , badala ya kunikosoa mimi kwa simple mistake ungetumia nguvu hizo kumshawishi CCM akueleze hivi kwa nini sisi ni maskini hali malighafi kila kona! hebu niache niende kanisani mimi!Watu wa humu jf mmeshikwa akili sana siasa!!!
Watu wa humu jf mmeshikwa akili sana siasa!!!
Wewe umeweka humu historia ipi unayoijua vizuri!? Acha ujinga wa kukosoa watu bila hoja!We hata historia hujui vizuri,
wewe unae ijua vizuri Mbona unawashwa na ZZK kuondolewa Chadema sasa!
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli
My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea
nyang'au sana wewe kijana
soma hapa
Oscar Kambona - Wikipedia, the free encyclopedia
is a president Tanzania never had
uhuni wa nyerere na mtoto wake mbowe ni huo huo tu, like father like son
hawataki kuwa challenged
au haujui Mbowe mtoto wa Nyerere???
Mkuu watu hawa hawafanani hata chembe! Zitto ni mchumia tumbo opportunist ambaye kila move yake inajulikana kuwa ni kujitajirisha! Issue ya Buzwagi iliisha baada ya kulipwa fedha kibao! Issue ya EPA alipewa kila kitu ili ailipue matokeo yake akaenda kwa balali kuvuta mshiko kwanza! Issue ya nyumba ya Gavana ya 4.5Billions aliipitisha na kutuaminisha kuwa nyumba hizo zinathamani halisi baada ya kukatiwa mshiko mkubwa! Amepewa fedha nyingi na makampuni ya simu baada ya kuwatishia kuwalipua kuwa wanakwepa kodi! NSSF saga imekuwa kimya baada ya kukatiwa mshiko mkubwa! Amekuwa mstari wa mbele kufuatilia mshiko wa Uswis baada ya kuwajua wahusika na kujua kuwa ni wale wale ambao siku zote hukatia mshiko! Alikula TANESCO akasahau kuwa iko chini ya Prof Muhongo akataka kula tena kwenye Issue ya Gesi Muhongo akamchana kuwa ni mlarushwa kama walivyo wanaccm wenzie wengi! Zitto hana ushawishi kwa wananchi kwa sasa ila anaushawishi kwa mataifa na mabwana zake wanaomtumia kwa sasa...Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli
My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli
My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea
Wewe umeweka humu historia ipi unayoijua vizuri!? Acha ujinga wa kukosoa watu bila hoja!
Umeingia humu bahati mbaya nini?hili ni Jukwaa la siasa.
Bora ukasaliNingekuona unaakili kuliko mimi kama ungemkumbusha baba yako kuwa inchi inamshinda watu ni maskini kwelikweli hawana hali na roho zao zinachomwa , badala ya kunikosoa mimi kwa simple mistake ungetumia nguvu hizo kumshawishi CCM akueleze hivi kwa nini sisi ni maskini hali malighafi kila kona! hebu niache niende kanisani mimi!
I dont need that ntasahihisha humuhumu
Hapa sio Facebook maana wototo wengi huu mmezoea kuleta habari za uongo na kichocheziInovation ndio kitu kigumu sana kwa binadamu,lakini kusahihisha tu,kila mtu anaweza.Kama mbongo wa kijiweni tu anaweza kumkosoa na kujaribu kumsahihisha Jose Morinho lakini hata ukimpa timu ya daraja la nne hawezi kuibadili,bado unadhani kukosoa alichokiandika mwingine kwa kumwambia hajui wewe ndio utaonekana unajua?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Lukutu ana haki zote za kuwasahihisha utoto wenu, kwanimmeshaligeuza hili Jukwaa kuwa la majungu na uongo wala hamjui tuna uhusiano gani na Mzee Kambona au Zitto KabweKama mbongo wa kijiweni tu anaweza kumkosoa na kujaribu kumsahihisha Jose Morinho lakini hata ukimpa timu ya daraja la nne
Kwa sababu hata mleta Mada kabisa anajionesha sio Mngoni au Muha ni Mmasai wa kutoka kaskazini maana anasema anaenda kusali hapo kajionesha ni Mdini kwa Zitto na Mkaskazinilaigwenan wewe unae ijua vizuri Mbona unawashwa na ZZK kuondolewa Chadema sasa!
Umechambua vizuri na ndio ukweli. Labda kwa kuweka kumbukumbu vizuri tuseme hivi;
ZITTO Z. KABWE NI OSCA S. KAMBONA WA KIZAZI HIKI.