Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Watu wa humu jf mmeshikwa akili sana siasa!!!
Ningekuona unaakili kuliko mimi kama ungemkumbusha baba yako kuwa inchi inamshinda watu ni maskini kwelikweli hawana hali na roho zao zinachomwa , badala ya kunikosoa mimi kwa simple mistake ungetumia nguvu hizo kumshawishi CCM akueleze hivi kwa nini sisi ni maskini hali malighafi kila kona! hebu niache niende kanisani mimi!
 
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli

My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea

You are A GRAET THINKER! Acha haao wajingawajinga wafikiri umakini huo wa CDM kuwa ni kujimaliza.Hawajui kuwa ndiyo chama kinazidi kuimarika na kujiweka tayari kuchukua nchi na kuwakomboa wananchi toka ukoloni kandmizi wa wakoloni weusi ndani ya nchi yetu(Ma CCM)!
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli

My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea
Mkuu watu hawa hawafanani hata chembe! Zitto ni mchumia tumbo opportunist ambaye kila move yake inajulikana kuwa ni kujitajirisha! Issue ya Buzwagi iliisha baada ya kulipwa fedha kibao! Issue ya EPA alipewa kila kitu ili ailipue matokeo yake akaenda kwa balali kuvuta mshiko kwanza! Issue ya nyumba ya Gavana ya 4.5Billions aliipitisha na kutuaminisha kuwa nyumba hizo zinathamani halisi baada ya kukatiwa mshiko mkubwa! Amepewa fedha nyingi na makampuni ya simu baada ya kuwatishia kuwalipua kuwa wanakwepa kodi! NSSF saga imekuwa kimya baada ya kukatiwa mshiko mkubwa! Amekuwa mstari wa mbele kufuatilia mshiko wa Uswis baada ya kuwajua wahusika na kujua kuwa ni wale wale ambao siku zote hukatia mshiko! Alikula TANESCO akasahau kuwa iko chini ya Prof Muhongo akataka kula tena kwenye Issue ya Gesi Muhongo akamchana kuwa ni mlarushwa kama walivyo wanaccm wenzie wengi! Zitto hana ushawishi kwa wananchi kwa sasa ila anaushawishi kwa mataifa na mabwana zake wanaomtumia kwa sasa...
 
Anaitwa OSCA SALATHIEL KAMBONA,Waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Tanzania na mtu wa Pili mwenye ushawishi na mvuto wa kisiasa baada ya J.K .Nyerere ndiye katibu mkuu wa kwanza wa TANU je wamkumbuka! wakati ule akioa best man wake alikuwa J.K NYERERE walipendana sana watu hawa na ndiye aliye kuwa msaada mkuu kwa nyerere wakati wa kudai uhuru.wakati fulani akiwa waziri wa ulinzi aliinusuru serekali isipinduliwe baada ya yeye mwenyewe kwenda kwenye makaazi ya wanajeshi na kujadiliana nao juu ya ongezeko la mshahara wao na wakati huo Rais na makamu wake KAWAWA wakiwa wamejificha Je wakumbuka!.Kwa kuwa alikuwa na ushawishi wa hali ya juu na maarufu sana wakati huo KAMBONA alianza usaliti na kutofautiana na viongozi wake wa Chama kamati kuu ya chama wakati huo ilifanya maamuzi magumu sana na ambayo hakuna aliye yatarajia ya kumvua nyadhifa zote ndugu Kambona na kumfukuza uwanachama lakini mpaka sasa chama kinaendelea, Swali la kujiuliza Hiviu ni kweli ZITTO ZUBERY KABWE alikuwa ni muhimu na maarufu kuliko kambona! hapana sio kweli

My Take:Ni heri kumpoteza msaliti kuliko Chama Kupotea

Umechambua vizuri na ndio ukweli. Labda kwa kuweka kumbukumbu vizuri tuseme hivi;
ZITTO Z. KABWE NI OSCA S. KAMBONA WA KIZAZI HIKI.
 
Umeingia humu bahati mbaya nini?hili ni Jukwaa la siasa.

Najua ni jukwaa la siasa lkn nilichocomment mie hakihusiani na chadema wala ccm i was talking bout oscar kambona hakuhusika na mapambano ya uhuru wala hakua katibu mkuu wa kwanza basi hayo ya zitto sijui takataka gani wanajua wenyewe i am nt concern nashangazwa na watu kubadili nilichosema
 
Ningekuona unaakili kuliko mimi kama ungemkumbusha baba yako kuwa inchi inamshinda watu ni maskini kwelikweli hawana hali na roho zao zinachomwa , badala ya kunikosoa mimi kwa simple mistake ungetumia nguvu hizo kumshawishi CCM akueleze hivi kwa nini sisi ni maskini hali malighafi kila kona! hebu niache niende kanisani mimi!
Bora ukasali
 
I dont need that ntasahihisha humuhumu

Inovation ndio kitu kigumu sana kwa binadamu,lakini kusahihisha tu,kila mtu anaweza.Kama mbongo wa kijiweni tu anaweza kumkosoa na kujaribu kumsahihisha Jose Morinho lakini hata ukimpa timu ya daraja la nne hawezi kuibadili,bado unadhani kukosoa alichokiandika mwingine kwa kumwambia hajui wewe ndio utaonekana unajua?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hapa sio Facebook maana wototo wengi huu mmezoea kuleta habari za uongo na kichochezi
nyie mmesahihishwa kuhusu Historia ya kambona na mkawekewa Link ya wikipedia
mtamfukuzaje member kuwa haruhusiwi kuchangia AKAFUNGUE THREAD YAKE
Tofautisheni F/B na JF
Mods ndio wenye mamlaka ya kuiondoa Thread au Post ya Member lakini sio ukikosolewa uanze kumkashifu mwenzako
Kama mbongo wa kijiweni tu anaweza kumkosoa na kujaribu kumsahihisha Jose Morinho lakini hata ukimpa timu ya daraja la nne
Lukutu ana haki zote za kuwasahihisha utoto wenu, kwanimmeshaligeuza hili Jukwaa kuwa la majungu na uongo wala hamjui tuna uhusiano gani na Mzee Kambona au Zitto Kabwe
Siasa ni Mchezo ambao watapatana na siku watakosana
Je wakirudiana nyie mtafaidika nini

laigwenan wewe unae ijua vizuri Mbona unawashwa na ZZK kuondolewa Chadema sasa!
Kwa sababu hata mleta Mada kabisa anajionesha sio Mngoni au Muha ni Mmasai wa kutoka kaskazini maana anasema anaenda kusali hapo kajionesha ni Mdini kwa Zitto na Mkaskazini
acheni hizo
 
Umechambua vizuri na ndio ukweli. Labda kwa kuweka kumbukumbu vizuri tuseme hivi;
ZITTO Z. KABWE NI OSCA S. KAMBONA WA KIZAZI HIKI.

Hahahaaa... Kazi kweli kweli, Zitto hana staha hata kidogo ya kufananishwa na Kambona. Kambona ni mzalendo wa kweli, Zitto ni mchumia tumbo na madaraka. Siwezi kushangaa akili zako za kijinga na za kinazi kwani wapo wengine wameandika eti Zitto ni kama Martin Luther King
 
Back
Top Bottom