Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Nyerere alikuwa busy kutumia hela za Watanganyika kuwekeza kwenye siasa za nje ya Tanganyika na kuiacha Tanganyika nchi maskini wa kutupwa.
Kabaki Malecela. Tusemeje sasa?
Ndio maana Nyerere alikuwa busy kutumia hela za Watanganyika kuwekeza kwenye siasa za nje ya Tanganyika na kuiacha Tanganyika nchi maskini wa kutupwa.
Kwani katiba ina_define vipi kuhusu uraia? Mtanzania ni nani?
Sheria ya uraia iko wazi
Dv 0 @ work.sijaelewa hapa
Siyo unasikia kitu kimoja tu unaconclude mkubwa. Vile vile tafuta upande wa pili. Kwa nini huyu jamaa alikimbilia Uingereza na wala siyo China?
Okey ..na wale watoto wengine wa kiume wawili?..ni kama hawapo. Nadhani neema ndie mtoyto pekee wa mzee kambona ambaye anayejua ukweli wa mambo maana hata katika maandiko mengi inaonesha Baba yake alikuwa akiandikiana mashairi na mwanaye huyo.. Wakati Kambona anarudi Dar toka uingereza aliambatana na Neema..nimesoma cover story yake jarida la femina(2004).. Kuna sehemu anasema "niliogopa sana sikujua nini kingetukuta, nilijiandaa kwa chochote. Nilimshikilia mkono baba na nikaapa sitamwacha. Kama wangempeleka jela ningekwenda pia"
Fasali Kambona yeye mewesa kukimbia, Sujaa Moringe Sokoine yeye imesokoinewa mapema.
Hili la kumpa utakatifu ni kampeni za Mseveni! Sijui anataka kumshukuru Nyerere kwa kumuwezesha kuwa Rais, hata sielewi. Lakini kama kuna watu wanatakiwa kupata utakatifu ndani ya kanisa katoliki, kutokea hapa Tanzania, basi Nyerere atakuwa wa mwisho kupata huo utakatifu. He totally doesn't deserve it. Tunashukuru tu kwamba kanisa Katoliki lipo stable, haliyumbishwi na siasa. Tunaamini halitajipaka matope kwa kumpa utakatifu mtu asiyestahili.