Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Mzee Mohamed Said
Unaona ufahari gani hao machief kuwa waislam?

Hakuna ajabu yeyote,wangeanza kuja wahindi Pwani yetu Mkwawa asingeitwa Abdallah angeitwa Vishal au Gunpreet.

Hakuna Mwafrika yeyote aliyekua Muislam/Mkristo by default, wote wamerithi tu dini za kuletewa.Waafrika tulikua na dini zetu wenyewe na kiuhalisia Misri(Kemet) ndio asili ya Ukristo hivyo basi ndio asili ya uislam pia.
Bukoba...
Swali labda ningelirudisha kwako.

Kwa nini waliokuja kuandika historia ya Tanganyika walibadili
kila kitu kilichokuwa na nembo ya Uislam?
 
Bukoba...
Swali labda ningelirudisha kwako.

Kwa nini waliokuja kuandika historia ya Tanganyika walibadili
kila kitu kilichokuwa na nembo ya Uislam?
Mzee

Nchi yetu haiko katika sura ya udini kama unavotaka wewe iwe.Ndio maana wakapewa majina "neutral" infact nimesoma kitabuni mwako unakiri kua huyo chief wa Songea kuna wanazuoni wanapinga kua sio kama ulivyosema wewe ndiye,ila wewe ukaona fahari kusema Sultan Abdul Rauf Songea ndiye haswa Chief Songea Mbano.
 
Hayo majina yasiyojulikana ya hao mashujaa/Machief yalifichwa kwa sababu ni ya Kiarabu? Na wewe umeyeweka ili kutufahamisha majina hayo au kutufahamisha kuwa walikuwa Waislam?
Ndio hilo ndio lengo la mohamed said, mimi huwa namuelewa sana huyu...pia nimeshasoma kitabu chake kimoja chote nikamuelewa

Ni Mdini sana ila hakurupukagi kama wale washenzi wengine.

Move on Mzee Cc: Mohamed said
 
Shimbe...
Nilijua tokea mwanzo kuwa hutoweza kufika mbali na mimi katika huu mjadala.
Mimi nilikuwa sijadiliani na wewe. Na ukiangalia vizuri sijajadiliana na wewe popote. I am just playing! Ni shida yako tu kurukia rukia. Kujadiliana na mfia dini ni kupoteza muda. Jadiliana na akina Paskali huko!
 
Mkuu kua na heshima unajua huyo unaemjibu hivi ni Mzee?Mchane kwa hoja kiungwana sio kumwambia Mzee wa watu anarukia rukia.
 
Shimba...kwa nini unaghadhibika na haya ni mazungumzo tu tunajadili. Ikiwa unakuja katika ukumbi kama huu wa JF ni kuwa unazungumza na dunia nzima labda kama ungesema simtaki Mohamed Said. Hakuna dini popote ni historia ya wazee wangu nimeijua na nimeiandika. Kuwa wametokea watu imewaudhi hili mie sikulitegemea hata kidogo.
 
Ndio hilo ndio lengo la mohamed said, mimi huwa namuelewa sana huyu...pia nimeshasoma kitabu chake kimoja chote nikamuelewa

Ni Mdini sana ila hakurupukagi kama wale washenzi wengine.

Move on Mzee Cc: Mohamed said
Azarel ikiwa mimi kwa kuandika historia iliyofutwa ni mdini. Je wale waliofuta historia ya Waislamu tuwaitaje?
 
Shimba...kwa nini unaghadhibika na haya ni mazungumzo tu tunajadili. Ikiwa unakuja katika ukumbi kama huu wa JF ni kuwa unazungumza na dunia nzima labda kama ungesema simtaki Mohamed Said. Hakuna dini popote ni historia ya wazee wangu nimeijua na nimeiandika. Kuwa wametokea watu imewaudhi hili mie sikulitegemea hata kidogo.
Sijaghafilika mkuu. I am just playing. Naacha sasa! Kusema kweli haya mambo ya akina Skyes hayanihusu kabisaaa. It's sad kwamba mzanaki aliwazidi kete wazee wako mpaka akawafurusha kwenye historia wakati ndiyo walimfundisha siasa. Mzanaki yule haki ya nani hakuwa wa kispoti spoti [emoji23][emoji23][emoji23]. I am done sir!!!
 
Asante sana....historia nzuri kuhusu Kambona...kumbe nyuma ya mafanikio ya Nyerere kulikua na watu majembe sana kama wakina Kambona na wengine..R.I.P
Sintaacha kusema kuwa Nyerere alikuwa na MAJEMBE MANNE kati yao, wawili bado wapo hai ila wanapuuzwa.

Hao ni:-

1) Oscar Kambona

2) Edward Moringe Sokoine

3) Mh. Salim Ahmed Salim

4) Edward Lowassa

Wanaoijua vizuri Tanzania watakubaliana nami juu ya hao.
 
Mkuu kua na heshima unajua huyo unaemjibu hivi ni Mzee?Mchane kwa hoja kiungwana sio kumwambia Mzee wa watu anarukia rukia.
Mkuu, JF hapa kuna kitufe kinachoonyesha umri wa mtu? Ningejuaje kuwa ni mzee? Na kurukia rukia ni neno baya? Isitoshe, umri na matendo kipi humpa mtu heshima? Woga wa Kiafrika kuheshimu wazee hata kama wanaboronga!

Anyway, nimeshaachana na hii thread mkuu. Sorry kama nimemkosea mtu. I am out [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sijaghafilika mkuu. I am just playing. Naacha sasa! Kusema kweli haya mambo ya akina Skyes hayanihusu kabisaaa. It's sad kwamba mzanaki aliwazidi kete wazee wako mpaka akawafurusha kwenye historia wakati ndiyo walimfundisha siasa. Mzanaki yule haki ya nani hakuwa wa kispoti spoti [emoji23][emoji23][emoji23]. I am done sir!!!
Shimba...Abdul hakumfundisha Nyerere siasa. Labda kama wewe unazo taarifa ambazo mimi sina. Abdul alilofanya kwa Nyerere ni kumjengea mahali pa kusimamia hapa Dar es Salaam kwa kuwa yeye alikuwa mgeni hakuna aliyemjua. Kisha Abdul na wenzake Mzee Rupia, Dossa na mdogo wake Ally wakaweka wazi mifuko yao kwake na kwa TANU ili chama kienee nchi nzima.
 
Asante kwa ufafanuzi!
 
Azarel ikiwa mimi kwa kuandika historia iliyofutwa ni mdini. Je wale waliofuta historia ya Waislamu tuwaitaje?
Mohamed Said unajua nilikuwa nikikutusi kulikopitiliza mpaka niliposoma kitabu chako August 2014.

You are a good Author, ila ulionesha kwa sehemu kubwa kuwa Waislam walinyanyaswa.

Na nilishakuuliza hili swali mara mbili na leo nitakuuliza tena kuwa:-

■ Kwanini unasema historia yao ilifutwa? Ilifutwa kwani ilikwishaandikwa?

■ Unafikiri ni nini kiliipa Ukristo nguvu ya kuweza kuwafanyia waislam hayo? Je ni Elimu tu au Urais wa Nyerere?
 
Story za Kambona zimejaa hapa JF,tatizo hii JF ya karibuni imejaa matusi na pumba.Jaribuni kupitia maada za kuanzia 2007 hadi 2012,JF ni kama google ya Tanzania

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?
Safi sana Mkuu!

Huu uzi uliouweka unamambo ya kujifunza...binfasi Mimi niliupitia mwezi January upo vizuri sana tena sana.

Watu walichangia vyema kwa weledi wa hali ya Juu,kama Mtu anania ya kujua historia ya kambona na Nyerere namuomba aupitie utamusaidia sana.
 
Back
Top Bottom