Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bukoba...Mzee Mohamed Said
Unaona ufahari gani hao machief kuwa waislam?
Hakuna ajabu yeyote,wangeanza kuja wahindi Pwani yetu Mkwawa asingeitwa Abdallah angeitwa Vishal au Gunpreet.
Hakuna Mwafrika yeyote aliyekua Muislam/Mkristo by default, wote wamerithi tu dini za kuletewa.Waafrika tulikua na dini zetu wenyewe na kiuhalisia Misri(Kemet) ndio asili ya Ukristo hivyo basi ndio asili ya uislam pia.
MzeeBukoba...
Swali labda ningelirudisha kwako.
Kwa nini waliokuja kuandika historia ya Tanganyika walibadili
kila kitu kilichokuwa na nembo ya Uislam?
Ndio hilo ndio lengo la mohamed said, mimi huwa namuelewa sana huyu...pia nimeshasoma kitabu chake kimoja chote nikamuelewaHayo majina yasiyojulikana ya hao mashujaa/Machief yalifichwa kwa sababu ni ya Kiarabu? Na wewe umeyeweka ili kutufahamisha majina hayo au kutufahamisha kuwa walikuwa Waislam?
Kama mi nina boga we naona utakuwa na masaburi....Ya Ngoswe mwachie Ngoswe!Ustaarabu sifuri. Katikati ya bega una boga badala ya kichwa?
Mimi nilikuwa sijadiliani na wewe. Na ukiangalia vizuri sijajadiliana na wewe popote. I am just playing! Ni shida yako tu kurukia rukia. Kujadiliana na mfia dini ni kupoteza muda. Jadiliana na akina Paskali huko!Shimbe...
Nilijua tokea mwanzo kuwa hutoweza kufika mbali na mimi katika huu mjadala.
Story za Kambona zimejaa hapa JF,tatizo hii JF ya karibuni imejaa matusi na pumba.Jaribuni kupitia maada za kuanzia 2007 hadi 2012,JF ni kama google ya TanzaniaKaizer kwa historia hii wengi hatukufamu maisha ya Kambona
Mkuu kua na heshima unajua huyo unaemjibu hivi ni Mzee?Mchane kwa hoja kiungwana sio kumwambia Mzee wa watu anarukia rukia.Mimi nilikuwa sijadiliani na wewe. Na ukiangalia vizuri sijajadiliana na wewe popote. I am just playing! Ni shida yako tu kurukia rukia. Kujadiliana na mfia dini ni kupoteza muda. Jadiliana na akina Paskali huko!
Shimba...kwa nini unaghadhibika na haya ni mazungumzo tu tunajadili. Ikiwa unakuja katika ukumbi kama huu wa JF ni kuwa unazungumza na dunia nzima labda kama ungesema simtaki Mohamed Said. Hakuna dini popote ni historia ya wazee wangu nimeijua na nimeiandika. Kuwa wametokea watu imewaudhi hili mie sikulitegemea hata kidogo.Mimi nilikuwa sijadiliani na wewe. Na ukiangalia vizuri sijajadiliana na wewe popote. I am just playing! Ni shida yako tu kurukia rukia. Kujadiliana na mfia dini ni kupoteza muda. Jadiliana na akina Paskali huko!
Bukoba ahsante sana.Mkuu kua na heshima unajua huyo unaemjibu hivi ni Mzee?Mchane kwa hoja kiungwana sio kumwambia Mzee wa watu anarukia rukia.
Azarel ikiwa mimi kwa kuandika historia iliyofutwa ni mdini. Je wale waliofuta historia ya Waislamu tuwaitaje?Ndio hilo ndio lengo la mohamed said, mimi huwa namuelewa sana huyu...pia nimeshasoma kitabu chake kimoja chote nikamuelewa
Ni Mdini sana ila hakurupukagi kama wale washenzi wengine.
Move on Mzee Cc: Mohamed said
Sijaghafilika mkuu. I am just playing. Naacha sasa! Kusema kweli haya mambo ya akina Skyes hayanihusu kabisaaa. It's sad kwamba mzanaki aliwazidi kete wazee wako mpaka akawafurusha kwenye historia wakati ndiyo walimfundisha siasa. Mzanaki yule haki ya nani hakuwa wa kispoti spoti [emoji23][emoji23][emoji23]. I am done sir!!!Shimba...kwa nini unaghadhibika na haya ni mazungumzo tu tunajadili. Ikiwa unakuja katika ukumbi kama huu wa JF ni kuwa unazungumza na dunia nzima labda kama ungesema simtaki Mohamed Said. Hakuna dini popote ni historia ya wazee wangu nimeijua na nimeiandika. Kuwa wametokea watu imewaudhi hili mie sikulitegemea hata kidogo.
Sintaacha kusema kuwa Nyerere alikuwa na MAJEMBE MANNE kati yao, wawili bado wapo hai ila wanapuuzwa.Asante sana....historia nzuri kuhusu Kambona...kumbe nyuma ya mafanikio ya Nyerere kulikua na watu majembe sana kama wakina Kambona na wengine..R.I.P
Mkuu, JF hapa kuna kitufe kinachoonyesha umri wa mtu? Ningejuaje kuwa ni mzee? Na kurukia rukia ni neno baya? Isitoshe, umri na matendo kipi humpa mtu heshima? Woga wa Kiafrika kuheshimu wazee hata kama wanaboronga!Mkuu kua na heshima unajua huyo unaemjibu hivi ni Mzee?Mchane kwa hoja kiungwana sio kumwambia Mzee wa watu anarukia rukia.
Shimba...Abdul hakumfundisha Nyerere siasa. Labda kama wewe unazo taarifa ambazo mimi sina. Abdul alilofanya kwa Nyerere ni kumjengea mahali pa kusimamia hapa Dar es Salaam kwa kuwa yeye alikuwa mgeni hakuna aliyemjua. Kisha Abdul na wenzake Mzee Rupia, Dossa na mdogo wake Ally wakaweka wazi mifuko yao kwake na kwa TANU ili chama kienee nchi nzima.Sijaghafilika mkuu. I am just playing. Naacha sasa! Kusema kweli haya mambo ya akina Skyes hayanihusu kabisaaa. It's sad kwamba mzanaki aliwazidi kete wazee wako mpaka akawafurusha kwenye historia wakati ndiyo walimfundisha siasa. Mzanaki yule haki ya nani hakuwa wa kispoti spoti [emoji23][emoji23][emoji23]. I am done sir!!!
Asante kwa ufafanuzi!Shimba...Abdul hakumfundisha Nyerere siasa. Labda kama wewe unazo taarifa ambazo mimi sina. Abdul alilofanya kwa Nyerere ni kumjengea mahali pa kusimamia hapa Dar es Salaam kwa kuwa yeye alikuwa mgeni hakuna aliyemjua. Kisha Abdul na wenzake Mzee Rupia, Dossa na mdogo wake Ally wakaweka wazi mifuko yao kwake na kwa TANU ili chama kienee nchi nzima.
Mohamed Said unajua nilikuwa nikikutusi kulikopitiliza mpaka niliposoma kitabu chako August 2014.Azarel ikiwa mimi kwa kuandika historia iliyofutwa ni mdini. Je wale waliofuta historia ya Waislamu tuwaitaje?
Safi sana Mkuu!Story za Kambona zimejaa hapa JF,tatizo hii JF ya karibuni imejaa matusi na pumba.Jaribuni kupitia maada za kuanzia 2007 hadi 2012,JF ni kama google ya Tanzania
Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?
Shimba nami nakushukuru. Ahsante sana.Asante kwa ufafanuzi!